Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 179
Tumekulewa Amiri jeshi Mkuu Makufuli,tumeelewa kwa nn Urais umetunikiwa ww.kama kuokota embe kwenye mbuyu,Ila historia itakukuhukumu.
Kwamba sisi wananchi tulio wengi wa Zanzibar tunamwambia kua ukimya wetu sio udhaifu wetu ukaono tuko kimya ndio ukaleta chokochoko zako zakutuchokoza na kutaka kututawala kimabavu kwa nguvu za kijeshi ?
Kwamba Wazanzibar kwa umoja wetu ambao tulionyesha katika uchaguzi mkuu wa oct 25 tunao uwezo huo huo wakuweza kuingia barabarani na kudai haki yetu ilio porwa na chama chako ,uwezo huo upo na ubabe wako na makeke yako basi waulize hao walio kutangulia kuwa wazanzibar ni watu gani ?
Kwamba takapoamua kuingia barabarani usijidanganye kua utaua na kuweza kutusweka magerezani kama kweli mbabe wewe na Jeuri basi usingali ikimbiaa ikuluu na haliyakua uko mchini , ukepata kuwakaribisha wageni wako nyumbani kwako sio kuwakimbia huo ni uzaifu wa kuongopa hoja eti kwakuogopa maswala ya kulizwa kuhusu Zanzibar.
Kwamba Swala la Zanzibar litakuganda kama Kupe na Ngombe na vitisho vyako havito tusababisha ku giveup katu, Ni wazanzibar tutapigania haki yatu kwa njia yoyote ile Zanzibar ni nchi yetu na vitovu vya bibi na babu zetu vimezikwa hapa na hapa ndipo kwetu hatuna kwengine kwakenda huo ubaguzi wenu wa uarabu,uhindi na uhatimu kuona kuwa wazanzibar mutawagawa kwa misingi hio basi mumesherewa .
Kama ni kutugawa kwa visingizio vya Ukabila ? basi jiangalieni huko Bara muna makabila mangapi ndani ya Tanganyika? sisi sote hapa ni Wazanzibar no matter rangi lakini Zanzibar ni ya wazanzibar wenyewe .
M/mungu ibariki Zanzibar na watu wake.