Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,417
Haki ya kusikilizwa ni basic principal katika kutenda haki.... ni haki mama na ndo maana kuna mahakama....
Mheshimiwa waziri mkuu, swali lako moja tu jana pale bandarini wakati unamhoji yule mama kuhusu flow meters, limewafanya watu wengi wajue mengi sana... kwamba kuna waziri alituma sms masaa 24 kabla wewe kwenda kutembelea pale wakati hizo mita zilikuwa hazitumiki zaidi ya miaka 5, najua hapo kuna maswali
mengi tu ya kujiuliza na mimi sio nia
yangu kwenye uzi huu...
Nia yangu hasa ni kuelezea umuhimu wa kuwapa watuhumia nafasi ya kujieleza maana ki ukweli yuke mama alivo kuwa anaongea na kutetemeka,
wengi tuliisha mhukumu lakini nyoyo
za watu zimebadilika baada ya lile swali lako moja tu " naliita la kientelejensia" na yeye kusema alitumiwa sms.... ahsante waziri mkuu...
Kwa kumalizia, kumpa yule mama nafasi ya kuandika barua na kujieleza pia nimeifurahia ili na wewe ujiridhishe na kutumbua jipu kama utalikuta au la... ni suala la kujiridhisha tu.... lakini bila hivo majipu yakitumbuliwa juu kwa juu, wakuu wetu mnao toa
maamuzi yanayo weza waumiza watu kwa kusema tu unaweza kujikuta umeumiza watu wengi, kuharibu career za watu na hata watu wengine kujiua na kuondoa morali maofisini.... hii ni kwa sababu wafanyakazi wanajuana, kama mtatumbua majibu
bila kujiridhisha na kutumbua mtu kimakosa, wengibe watabaki wanasema " hata huyu" na mwisho watz hatutapata tunacho taka maana nia yenu ni njea....
Mh. Waziri mkuu, maneno yenu tu yanayosha kabisa kuhukumu.... kuna usemi "ombi la Raisi/ Waziri mkuu ni Amri" hivo bila kujiridhisha na mkatuma vyombo vya uchunguzi tu baada ya nyie kuonyesha kuna jipu, vyombo vyenyewe vitaumizwa na usemi huo hapo juu na mnaweza kuta watu wanaumia wakati hii sio nia yenu...
WAPEN WATU NAFASI YA KUJIELEZA KAMA ULIVO FANYA MH. WAZIRI MKUU... AHSANTE SANA....
UPDATE:
Cheki hapa mahojiano hayo: