2020 kwenye uchaguzi kilichotokea kwa Mr. Richmond ndio kitakachotokea kwa ESCORW CHADEMA Urais

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
2007-2011 chadema walipaza sauti kubwa ZIDI ya Mr Richmond nna kumtangaza wazo pale mwembeyanga na kwenye kampain.za 2010, aliitwa shetani,fisadi papa,kibaka wa kuchomwa moto,lkn 2015 HARAKATI hizo zikazimika na kuanzia usafi wake kwa sauti zilezile, sasa

2015-2020
SAUTI ZA TIMU ILEILE ZIMEANZA.KUPAZWA TENA KWA NGUVU ZIDI YA EACROW INAWEZEKANA NA MAJINA YALE YALE YA MAKENGEZA INAWEZEKANA HISTORIA IKAJIRUDIA MR CHENGE AKAGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA,
WAENGA WANASEMA.
SIMBA AKIONJA NYUAMA YA MWANADAMU KAMWE HATAACHA,
NDO KITAKACHOTOKEA UKAWA,
 
Kitu kama hicho kamwe hakiwezi kutokea. Watanzania wa sasa walio wengi wana uelewa wa kutosha na mambo ya siasa na ikipatikana tume huru ya uchaguzi mapema ndio kabisaaa 2020 utakua ni mwaka mgumu sana.

Wana mabadiliko wengi bado hawaamini kilichotokea hadi sasa. Wanaamini EL ndiye aliyeshinda. Hawa ni watu wabaya sana hata jiwe wako radhi kulichagua huku wakiamini tu kwenye mabadiliko! yapi? wanayajua wenyewe.
 
Mtoa maada umepatia kabisa , nawasihi akina lisu, mnyika, mdee wanapomtukana Chenge wabakize akiba ya maneno, kwa namna Mbowe anavyobadilisha gia angani huenda 2020 gia zikamwangukia Chenge
swadaktah mkuu
 
chadema wamefanya siasa za kipumbavu sana kumchukua mtu mchafu aliyekatali ambako tuliamini uchafu ni sifa ya kugombea uongozi wakajitahidi kumsafisha kisha wakampa nafasi ya kugombea cheo cha juu kabisa sasa hivi hawajui ni nani watamweka kupambana na magufuli maana kila kukicha mgombea wao anazidi kudidimia badala ya kuongezeka umaarufu hii itawafanya watu wasafi wafikirie mara mbili mbili kabla ya kujiunga na hiki chama kwani wamerudisha nyuma mageuzi ambayo yalikuwa kwenye njia sahihi
 
Back
Top Bottom