Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,943
- 7,919
Mambo ya Muhimbili na jinsi raisi anavyojitoa binafsi na kutowashirikisha ina maana pana . Kumbuka marazote hasemi waziri fuatilia anapiga kimya. Ummy unasubiri media ndo utoe maagizo ulipaswa kuwa na ripoti ya mapungufu ktk hospitali zote za rufaa mikoa na kuweka hadharani mikakati kwa kumobilise resources. Maswala ya kuzindua maduka ya MSD aachiwe MSD .Kama rais katembelea mgonjwa wewe hulazimiki tena . Dada Ummy komaa acha sanaa za awamu ya nne jamaa kashaanza kukuangalia juu chini.Tutambomoa atakaye tukwamishaiiiiiiiiiii