Mtakumbuka mgogoro mkubwa uliojitokeza kuhusu TBC kusitisha matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni. Serikali walijitetea kwamba chombo hicho hakina uwezo kugharamia matangazo hayo
Sasa najiuliza leo hotuba ya rais imelipiwa? na kama haikulipiwa kwa nini haikurekodiwa na kurushwa usiku kama wanavyofanya kwa bunge?
Sasa najiuliza leo hotuba ya rais imelipiwa? na kama haikulipiwa kwa nini haikurekodiwa na kurushwa usiku kama wanavyofanya kwa bunge?