Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Leo Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Chini ya Jaji Lumanyika imekamilisha hatua zote za majibizano ya kisheria kuhusu kesi ya Kafulila kupinga matokeo ya ubunge Kigoma kusini,
Katika shauri hilo,jaji ameigiza na kuelekeza kuwa ndani ya siku chache Jaji kiongozi awe ameteua Jaji kwajili ya kumalizia kesi hiyo hatua ya ushahidi ambayo itafanyika Kigoma mapema mwezi ujao.