Watendaji tuwe na tabia za kujiuzuru!

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Messages
1,831
Points
2,000

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2011
1,831 2,000
Huwa nashangaa sana kuona watendaji kama Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara mbalimbali ambao wengi wao ni wasomi, wakiburuzwa sana kwa vimemo, SMS, Calls ili wafanye maamuzi ambayo hata mtoto mdogo hawezi fanya. Hivi kwanini hatuna tabia ya kugoma na ikiwezekana kujiuzulu kunapotokea kadhia kama hizo? Au ndio njaa na kutojiamini?
Ni Prof. Ndalichako tu alisimamia anachoamini (japo alikataa kwamba hakujiuzulu kwa kadhia za upangaji madaraja) lakini wengine wote hasa midume wanatia kinyaa. Ndio maana mnatumbuliwa majibu kwa upuuzi wenu kila siku.
 

Forum statistics

Threads 1,366,932
Members 521,594
Posts 33,381,404
Top