mwalimu nyerere ndio muasisi wa serekali ya mseto zanzibar

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
mwalimu nyerere ndio.muasisi wa serekali ya mseto zanzibar na hii wazo lilitokana na matokeo ya uchaguzi wa mwaka 1995 baada ya ccm na cuf kukaribiana sana lkn cha kushangaza wana ccm wenzake wanamuenzi mwalimu kila mwaka wamelifumbia macho swala hili,kigoda cha mwalimu nyerere wameweka pamba masikioni
ni maajabu mtu aliyeasisi busara ya umoja miaka karibu ishini iliyopita leo hii wanajitokeza watu baadhi ya waliokuwa wa karibu yake wanaweka pamba masikioni wanataka kuaribu ubunifu nzuri wa amani ya kudumu zanzibar
mungu tubariki tuvuke salama kabla ya wazungu hawajaja kutupatanisha
 
Kabla hujamsifu mwalimu katika suala la umoja wa kitaifa jiulize aliyapokea vipi matokeo ya uchaguzi ya mwaka 1995
 
Back
Top Bottom