S/Msingi Maji matitu Temeke Watoto wafurika Shuleni!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Shule ya Msingi Maji Matitu Wilayani Temeke ikiwa imefurika Wanafunzi zaidi ya wanafunzi 1000 waliandikishwa darasa la kwanza hii kwa kawadia ni zaidi ya idadi ya wanafunzi wa Shule nzima na hii yote ni kwa sababu ada imeondolewa, sasa swali la kujiuliza ni Je hawa watoto wote kama seriklai ya Raisi Magufuli isingeondoa ada haraka iwezekanvyo ina maana leo hii wangekuwa wako nyumbani, hapa ndipo tulipokuwa tumefika sisi kama nchi!

Hii ni changamoto tosha kwetu kama jamii kesho ukienda kula nyama choma au kunywa bia fikiria hili kwamba shilingi 20 000 inamkalisha mtoto nyumbani na kukosa Elimu, hawa ndiyo panya road, ndiyo boda boda wanaofanya uhalifu kila siku hivyo basi wote tuungane kujaribu kulitatua hili tatizo mchango unahitajika!


Shule-13Feb2016.png
 
Nafikir ni wakati muafaka sasa, wabunge wafikirie namna ya kumwongezea Magufuli muda wa kuongoza wa miaka Kumi baada ya 2025. Yaani awe rais kwa muda wa miaka 20! Rwanda wameweza kwanini sisi tushindwe?
 
Back
Top Bottom