Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka Bandari ya Tanga utafanyika kama marais wa nchi hizo mbili walivyokubaliana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashangaa hawa vigogo wa CCM mpaka sasa hawajatoa salaam za pongezi kwa Dr.Shein baada ya kupata ushindi wa kishindo wa asilimia 91.4 kwenye uchaguzi huu wa Zanzibar. Ukiacha hawa, hata vigogo wa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nasoma gazeti la Mwananchi hapa la leo ukurasa wa tatu kuna kichwa cha kidogo cha habari ''historia ya Dar es Salaam'' nimepitia orodha ya watu waliowahi kushika Umeya wa Dar, nagundua kwamba...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Barabara na mitaa iwekwe vibao kuonyesha majina. Miji yote mikubwa hili suala hupewa kipaumbele sana. Kwa bahati mbaya Dar jambo hili ni kama limepuuzwa. Barabara na mitaa mingi haina vibao vya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
maalim seif anacheza kamchezo flani ivi, kanaitwa zira wakuhurumie. kama ni kweli maalimu alishinda uchaguzi wa oktoba kwa 52% , na wakamfanyia figisu kwa kufuta uchaguzi, dawa sahihi ya...
5 Reactions
119 Replies
10K Views
Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki, Ngudu Naftali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Jana jioni alipata ajali ya kuanguka toka kwenye mti wakati akiwa anapruni. Ikumbukwe ndiye alikuwa Diwani...
2 Reactions
67 Replies
15K Views
DR.SHEIN anaapishwa kuwa raisi wa Zanzibar alhamisi ,tarehe 24 march 2016.UKAWA karibuni sana muone bingwa wa siasa toka akiwa shule za msingi akiapishwa. Mje mshuhudie komandoo wa kijeshi na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkutano unaendelea katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convetional Centre, mada kuu ni kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa safi kwa ujumla wake. Najua wengi hampendi TBC 1 lakini karibuni tufuatilie...
1 Reactions
204 Replies
28K Views
  • Redirect
RAIS DR SHEIN anaingia kwenye record za Dunia? Dr. Ali Mohamed Shein anaingia kwenye rekodi ya dunia kama mojawapo ya viongozi waliowahi kuchaguliwa kwa asilimia kubwa ya kura baada ya kupata...
3 Reactions
Replies
Views
NHC ni shirika la kitaifa,inakuwaje mkoa au mji mmoja unakuwa na miradi ya mabilioni ya shilingi inayoendelea halafu miji mingine haina hata mradi mmoja? Kuna maeneo kuna nyumba za NHC tena...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Akizungumza mara baada ya kukamailisha zoezi la uhakiki wa silaha zake. Rais amesema suala la umeya wa Dar ni aibu kila siku kuahirishwa na kusisitiza ni lazima demokarsia iaachwe ichukue mkondo...
7 Reactions
201 Replies
30K Views
Naomba serikali iangalia namna ya kupangua hoja zilizojengwa na majirani zetu ili tu majirani hao kuhakikisha bomba linapita kwao. Hili bomba lina manufaa kwa nchi . Nashauri serikali iangalie...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa. Kutokana na shtuma hizo ameamua...
0 Reactions
Replies
Views
Wana JF Kwenye Bunge la Mwaka jana Mh. Anna Kilango Malecela alilalamika sana kuhusu miradi ya umeme vijijini (REA) kupelekwa Sengerema wakati kuna baadhi ya wilaya hazina umeme! Kinachoendelea...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Z'bar mwaka jana, jumla ya kura zilizopigwa ni laki 6 plus. Kura zilizokua zimehesabiwa hadi wakati Jecha anafuta matokeo ni laki 5 plus. Uchaguzi wa marudio juzi Shein kapata kura...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Poll
Check the poll above... Thanks
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Sabakheri Wadau; Nimependa Sana Harakat Za Jpm Katika Kukuza Uchumi Na Kupunguza Matumizi Ila Mbona Yeye Anatumia?? Wiki Ya Jana Katika Hali Nisiyotegemea Rais Alipiga Simu Clouds Na Kuwasifia Na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
  • Redirect
Wakuu watu wengi tupo mtaani nafasi za kaz tunakosa alafu watu wanapiga pesa bila woga fichua mtumishi hewa yoyote katka wilaya yyte ile tafadhali
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wakuu! Leo tuitahadharishe kamati tajwa juu ya kuhakikisha afya ya mtanzania inaimarika kwa kuiwekea bajeti ya kutosha sekta ya afya kutoka kwenye mfuko wa hazina na sio kutegemea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kile kilichoitwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar umeshakamilika na kama ambavyo ilitarajiwa na mgombea wa CCM ameibuka na ushindi ambao wao wenyewe wanauita wa kishindo. Lakini dunia nzima...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom