Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,939
Nashangaa hawa vigogo wa CCM mpaka sasa hawajatoa salaam za pongezi kwa Dr.Shein baada ya kupata ushindi wa kishindo wa asilimia 91.4 kwenye uchaguzi huu wa Zanzibar.
Ukiacha hawa, hata vigogo wa CCM huko Zanzibar wakiwemo maraisi wastaafu wa Zanzibar nao kimya!Kuna nini?Au sijui huu ushinda hauna raha!
Anyway,wacha tusubiri labda bado mapema sana au mimi ndio sijui.