mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Sabakheri Wadau;
Nimependa Sana Harakat Za Jpm Katika Kukuza Uchumi Na Kupunguza Matumizi Ila Mbona Yeye Anatumia??
Wiki Ya Jana Katika Hali Nisiyotegemea Rais Alipiga Simu Clouds Na Kuwasifia Na Kupiga Nao Story!! Rais Akitambua Fika Kuwa Kile Kifurushi Kimetokana Na Pesa Zetu Walalahoi Yeye Anakitumia Kupigia Story! Kwanin Hizo Dakika Usingempigia RC Wa Morogoro Ukamueleza Hupend Huu Uchafu Hapa Stand Ya Hiace! Halafu Clouds Ungewatumia Text Ya Kuwasifia!! Hapo Ningekuona Wa Maana Sana!!
Wazo Langu; Rais Jpm Wakat Unawanyooshea Kidole Watendaj Wako Kuhusu Matumiz Mabovu Usisahau Hv Vi3 Vinavyokuangalia.