TANZIA: Diwani pekee wa CCM ktk Jimbo la Arumeru Mashariki afariki dunia

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,739
Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki, Ngudu Naftali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Jana jioni alipata ajali ya kuanguka toka kwenye mti wakati akiwa anapruni.

Ikumbukwe ndiye alikuwa Diwani pekee wa CCM Jimbo la Arumeru Mashariki

R.I.P...
 
RIP diwani.

Nashauri Chadema wasisimamishe mgombea udiwani Uchaguzi mdogo ili CCM ipite na kuendelea kuwa na diwani kwenye baraza.

Hatutaki waje kuwa kama Baraza la wawakilishi ambalo wamejiweka jana wote wa CCM ili wakisema ndioooo sauti isikike kote Zenji
 
Alikuwa na msongo wa mawazo huyu bila shaka!

Pole zimwendee @MmaranguOriginal
 
Mkuu pole hailazimishwi na wala si deni, kutoa pole ni maamuzi ya mtu hata wewe hukulazimishwa na hata usingetoa hakuna wa kukuuliza ni hivyo tu mkuu
 
Poleni sana wana Arumeru Mashariki...CHADEMA isisimamishe mgombea...waachieni CCM
 
Mkuu pole hailazimishwi na wala si deni, kutoa pole ni maamuzi ya mtu hata wewe hukulazimishwa na hata usingetoa hakuna wa kukuuliza ni hivyo tu mkuu
Wenye akili wanajua kwanini nimetoa hiyo pole...ila punguwani kama wewe huwezi kujua maana uwezp wako wa kufikiri ni mdogo mno..
 
R.I.P Mh Naftali na pole kwa wafiwa.
Hamkutoa pole kwa Mawazo, hamkutoa pole kwa unyama wenu wa Soweto Arusha lakini sisi ni waungwana tunatoa polen kwa wafiwa wote...
SISI ni kina nani?

Sasa umetoa taarifa ya msiba au upo kwenye ushabiki wa siasa? kwa hiyo ungeshauri kila anayetoa pole ya msiba atangaze na itikadi yake ili uwe unafanya "tallying"?
 
Wenye akili wanajua kwanini nimetoa hiyo pole...ila punguwani kama wewe huwezi kujua maana uwezp wako wa kufikiri ni mdogo mno..
Ati eeeee, ahahahahaaaa, vidole havilingani, ni nywele kila mtu ana zake,

nalog off
 
Back
Top Bottom