Rais Magufuli azungumzia Umeya wa jiji la Dar

Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,479
388
Akizungumza mara baada ya kukamailisha zoezi la uhakiki wa silaha zake.

Rais amesema suala la umeya wa Dar ni aibu kila siku kuahirishwa na kusisitiza ni lazima demokarsia iaachwe ichukue mkondo wake kama ni CCM basi iachwe ishinda na kama ni CHADEMA nayo iachwe ishinde..

Unaweza kubofya hapa chini kuona yote Rais aliyoyasema
 
Akizungumza mara baada ya kukamailisha zoezi la uhakiki wa silaha zake.

Rais amesema swala la umeja wa Dar ni aibu kila siku kuahirishwa na kusisitiza ni lazima demokarsia iaachwe ichukue mkondo wake kama ni CCM basi iachwe ishinda na kama ni CDM nayo iachwe ishinde..

Unaweza kubofya hapa chini kuona yote Rais aliyoyasema

Wameshapanga njama na CCM kuleta Fitna na kushinda kwa Hila na Polisi kuwa Support
 
Alikuwa wapi muda wote huo bila kuzungumzia chochote kuhusu hili suala la Umeya wa JIJI,ni vizuri kama angetueleza zichukuliwe hatua kwa yule Mkurugenzi na Mwanasheria wa JIJI ambao walijitoa ufahamu na kutoa zuio feki la Mahakama.
Wewe kwanini hujawahi kuzungumzia unamuuliza Rais alikuwa wapi na wewe ulikuwa wapi.
 
Akizungumza mara baada ya kukamailisha zoezi la uhakiki wa silaha zake.

Rais amesema suala la umeya wa Dar ni aibu kila siku kuahirishwa na kusisitiza ni lazima demokarsia iaachwe ichukue mkondo wake kama ni CCM basi iachwe ishinda na kama ni CHADEMA nayo iachwe ishinde..

Unaweza kubofya hapa chini kuona yote Rais aliyoyasema

Mbona huyu mtangazaji anasema Rais amehakiki silaha zake March 22, 2016..ina maana kalenda yake imetangulia mbele kwa siku moja? mbona mimi naona leo ni March 21?
 
Gerson Msigwa mwishoni mwa clip kapatwa na slip of the tongue anasema March 22, 2016 alhali leo ni March 21. Mh. Rais nimpongeze kwa ujasiri wake. Kusema ukweli inakera maana Meya ni kiongozi wa wananchi. Kesho jambo hili lifike mwisho na Meya aje ashirikiane na Mh. Rais kuchapa KAZI TU. Ubabe ubabe na misigano ni AIBU na havina tija kwa ustawi wa jamii yetu.

Rais kaonesha uzalendo wa hali ya juu katika hili. Tuache demokrasia ichukue mkondo wake.
 
Je Vp Kuhusu Wale Waliopeleka Uzio Bandia Na Kupelekea Vurugu!! Ameagiza Wakamatwe Na Kufunguliwa Mashitaka Kughushi Nyaraka Za Mahakama!! Maana Huyo Kamanda Anayetumiwa Na Hao Wanaohusika Alikuwa Naye Uso Kwa Macho!!!
 
Late statement mheshimiwa! Ningemfurahia kama angetoa order pia ya kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya wahusika wa zuio feki sababu ipo wazi ni kosa kisheria kufanya forgery.
Hapo ndipo utakapojua kuwa hakuna mwanaCCM anayesimamia haki isiyopendelea chama chake. Watu hata wakifanya jinai, mradi inaegemea upande wa CCM wahusika watajidai hawakuona wala kusikia na hawajui chochote.
 
Back
Top Bottom