mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,211
- 3,317
Uchaguzi wa Z'bar mwaka jana, jumla ya kura zilizopigwa ni laki 6 plus. Kura zilizokua zimehesabiwa hadi wakati Jecha anafuta matokeo ni laki 5 plus. Uchaguzi wa marudio juzi Shein kapata kura laki 2 plus. Maana yake ni kwamba kuna watu laki 4 plus hawamtaki Shein. Kwa lugha rahisi ni kwamba Wazanzibari wangekubali kupiga kura tena, Shein angeshindwa tena, na Jecha angefuta matokeo tena.? So unaweza kuona HEKIMA ya CUF kususia uchaguzi.!