Naomba serikali iangalia namna ya kupangua hoja zilizojengwa na majirani zetu ili tu majirani hao kuhakikisha bomba linapita kwao. Hili bomba lina manufaa kwa nchi . Nashauri serikali iangalie maeneo ambayo inaweza kuwapunguzia hawa wawekezaji au kuwamotivate ili bomba hili lipite hapa. Biashara ni mahesabu