SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
maalim seif anacheza kamchezo flani ivi, kanaitwa zira wakuhurumie.
kama ni kweli maalimu alishinda uchaguzi wa oktoba kwa 52% , na wakamfanyia figisu kwa kufuta uchaguzi, dawa sahihi ya kuwashughulikia CCM ilikuwa ni ipi???
Kwa mwanasiasa mkomavu dawa ilikuwa ni kuhakikisha unawaaibisha kwa mara ya pili kwa kushinda tena. Maalimu alipaswa kuhakikisha anawaanda wasimamizi waaminifu katika kipindi cha miezi minne toka oktoba 2015, huku akihamasisha wafuasi wake kushiriki uchaguzi wa marudio kwa kishindo, ili kuhakikisha CCM hawapati pa kuchomokea. Na hii ndo sifa ya mwanamapindizi mkongwe.
Wote tunajua figisu za wakoloni zilivyokuwa za hatari, lakini wazee wetu hawakuwahi kususa mapambano, Kina nyerere, Mugabe, Mandela, patric Lumumba n.k walipigwa figisu za hatari zaidi ya hii ya maalimu,lakini kwa kuwa walijua kuwa ushindi ni wao, hakuna aliyesusa, walipambana mpaka nmzungu akaondoka.
Hii ya maalimu iligua ni geresha na danganya toto, na kama anabisha atuwekee nyaraka za majadiliano kati yake na shein. Maalimu anajua hakushinda oktoba na alijua kabisa kuwa hatashinda tena machi, ndo maana akaamua kuwasaliti wazanzbar kwa kususa, ili tu waamini eti kaonewa.
haiitaji degree ya Havard kuuelewa huu mchezo wa maalimu, labda nimalize kwa kumshauri kuwa Mwanamapinduzi au mwanasiaswa mkongwe yoyote hawezi kususia uchaguzi, bali hushiriki mara nyingi iwezekanavyo ili kuwashinda na kuwaaibisha wapinzani wake.
Poleni wana CUF, huku ufipa hatuna hamu kabisa na Sief, ndo maana mwenyekiti wetu na katibu mkuu mpya hawajaenda kumuona hapo HOTELINI anapolipiwa na serikali ya shein,