Africa's underdevelopment

What has made Africa the least developed continent on the planet so far?

  • Lack of resources

    Votes: 0 0.0%
  • Climatic condition effect

    Votes: 0 0.0%
  • Cause unknown

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    17
  • Poll closed .
The spiritual welfare of Africans is being misled. And when you mess with one's spirit you mess with his/her life. Eradicate the foreign religions in Africa.
 
One factor could not exclusively explain the underdevelopment of African continent. Ni collabo ya mambo mengi
 
Thank u all for responding... Am compiling an international publication on the subject matter, so the findings on this poll will serve a great role in my work. Thank u
 
Kuna msemo kwamba mwanaume wa kizungu akiamka asubuhi sehemu ya kwanza kugusa ni kichwa chake cha juu halafu atatikisa nywele na ndipo ataamka kwenda kuoga. Mwanaume wa kiafrika akiamka asubuhi sehemu ya kwanza ya mwili atakayoigusa ni kichwa cha chini (uume) halafu ndipo atakapoamka na kwenda kuoga.
Mwanaume wa kizungu na wa kiafrika hawawezi kufanana maishani, wanaishi katika dunia moja lakini ni aina mbili tofauti za watu.
 
Thank u all for responding... Am compiling an international publication on the subject matter, so the findings on this poll will serve a great role in my work. Thank u

I bet that publication will lack scientific rigorousness! You must first define "underdevelopment" and come up with an agreeable measure before anything because development economists are yet to agree on the definition especially in African context.
 
Niliwahi leta mada hapa JF niliyoipa heading inayosomeka: "Africans are misplaced human beings in this planet".Itafute utaiona.

Nilichomanisha ni kuwa waafrika tuliletwa katika hii dunia kimakosa kwani ni sawa na kiumbe hai kilichowekwa katika mazingira ambayo hakijapewa adaptation(uwezo wa asili)kuyakabili mazingira yake kama ilivyo kwa sisi waafrika na changamoto za kuishi katika hii dunia.

Dunia ina magonjwa lakini waafrika dawa za kutibu magonjwa tunategemea zitoke ulaya,duniani tunahitaji vyombo vya usafiri lakini hivi pia vyote vinatoka Ulaya na kwenye mabara mengine.Afrika tumepewa maliasili lakini teknolojia ya ku-process maliasili hizo hatuna bali tunategemea tekonolijia hiyo itoke Ulaya na kwingineko.

Hiyo ni mifano michache tu ya namna ambavyo tunaishi katika sayari ambayo hatukuandaliwa kuishi na kuyamudu mazingira na changamoto zake unless ilipangwa tuishi kwa msaada wa wazungu.

Ndio maana nasema sisi hii dunia haikuumbwa kwa ajili yetu maana tumeshindwa kuyakabili mazingira ya dunia hii na kama tuliletwa katika hii dunia ili tuishe,basi ulikuwa ni mpango wa mungu(nature) tuishe kwa kutegemea msaada wa mtu mweupe.

Kwa kifupi,tunaishi kama kiumbe hai asie na adaptation kuyakabili mazingira yake ya asili kitu ambacho hakipo.Kila kiumbe hai ana adaptation ya asili kumuwezesha kuishi katika mazingira yake.

Sasa jiulize,sisi tunaoishi katika hii dunia kwa kutegemea mtu mweupe(atutengenezee dawa,vyombo vya usafiri,mavazi,atuletee teknolijia,n.k) kweli tulipangiwa kuishi katika hii dunia?

Ninachoamini mimi binafsi ni kuwa,kwa akili yetu na uwezo wetu wa asili tulionao sisi Waafrika, tulistahili kuishi katika sayari isiyo na magonjwa, isiyohitaji tekonolija,isiyo na maliasili za kuendeleza kwa kutumia teknolojia,n.k.

Tukubali tukatea,tunaishi kwa msaada wa uwezo na akili ya mtu mweupe alieumbwa na vitu vyote vya kumuwezesha kuyakabili mazingira ya hii dunia.Hii ilipangwa na nature.
 
Back
Top Bottom