Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wakuu kuna hii kauli ya mkuu wa mkoa wa Kagera RC Kijuu kusema watumishi hewa wajiondoe, mi nashindwa kuelewa kwamba watumishi hewa ni watu walio hai au vipi? Nakumbuka Rais Magufuli alipokuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe hupokea rushwa. Kutokana na shtuma hizo ameamua...
12 Reactions
145 Replies
32K Views
Zanzibar Post BAADA YA CCM KUKOSEA KUKOKOTA TARAKIMU NA KUTOA TAARIFA RASMI YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MAJEREO MATOKEO RASMI HAYAKIDHI MATAKWA YA KATIBA YA ZANZIBAR YA SASA NA HIVYO UNAPASWA...
6 Reactions
128 Replies
18K Views
Naazimia kuwafichua waliosomeshwa na serikali kwa pesa ya walala hoi lakini hawataki kurudisha, tunaomba tuwataje hapa na sehemu wanazo fanya kazi ili serikali ichukue hatua wakamatwe na...
1 Reactions
90 Replies
14K Views
Miaka mingi iliyopita tulimsifu shujaa kibanga kwa kumpiga mkoloni aliyewaita waafrika Nyani,Mbwa na majina yote mabaya. Kibanga hakupendezwa na kauli hizo zenye kuutweza utu wa mwafrika tena...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Redirect
Kwamba Wenyeviti wa kanati za Bunge ni wala rushwa, wabunge nao wanapokea mlungula. Kisha Spika anawapangua na kutoa kauli kuwa hiyo habari ya rushwa ni maneno maneno tuu. Sasa nani ataisinamia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi Katibu Mkuu mpya wa Chadema kishakabidhiwa makabrasha na Slaa? Maana hasikiki, au bado yupo kwenye kukabidhiwa?
6 Reactions
Replies
Views
Slaa alikuwa mstari wa mbele kukosoa chama chake kumkaribisha Lowassa kugombea kupitia Ukawa. Alifikia hatua ya kuomba vyama vidogo kumpa jukwaa ili awambie watanzania madhara ya chama chake cha...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Australia’s Black Rock Mining expects to develop a low cost, long life US$57 million graphite mine within the next 12 to 24 months. Tanzania - The mine's graphite product will be aimed at key...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka Bandari ya Tanga utafanyika kama marais wa nchi hizo mbili walivyokubaliana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashangaa hawa vigogo wa CCM mpaka sasa hawajatoa salaam za pongezi kwa Dr.Shein baada ya kupata ushindi wa kishindo wa asilimia 91.4 kwenye uchaguzi huu wa Zanzibar. Ukiacha hawa, hata vigogo wa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nasoma gazeti la Mwananchi hapa la leo ukurasa wa tatu kuna kichwa cha kidogo cha habari ''historia ya Dar es Salaam'' nimepitia orodha ya watu waliowahi kushika Umeya wa Dar, nagundua kwamba...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Barabara na mitaa iwekwe vibao kuonyesha majina. Miji yote mikubwa hili suala hupewa kipaumbele sana. Kwa bahati mbaya Dar jambo hili ni kama limepuuzwa. Barabara na mitaa mingi haina vibao vya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
maalim seif anacheza kamchezo flani ivi, kanaitwa zira wakuhurumie. kama ni kweli maalimu alishinda uchaguzi wa oktoba kwa 52% , na wakamfanyia figisu kwa kufuta uchaguzi, dawa sahihi ya...
5 Reactions
119 Replies
10K Views
Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki, Ngudu Naftali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Jana jioni alipata ajali ya kuanguka toka kwenye mti wakati akiwa anapruni. Ikumbukwe ndiye alikuwa Diwani...
2 Reactions
67 Replies
15K Views
DR.SHEIN anaapishwa kuwa raisi wa Zanzibar alhamisi ,tarehe 24 march 2016.UKAWA karibuni sana muone bingwa wa siasa toka akiwa shule za msingi akiapishwa. Mje mshuhudie komandoo wa kijeshi na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkutano unaendelea katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convetional Centre, mada kuu ni kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa safi kwa ujumla wake. Najua wengi hampendi TBC 1 lakini karibuni tufuatilie...
1 Reactions
204 Replies
28K Views
  • Redirect
RAIS DR SHEIN anaingia kwenye record za Dunia? Dr. Ali Mohamed Shein anaingia kwenye rekodi ya dunia kama mojawapo ya viongozi waliowahi kuchaguliwa kwa asilimia kubwa ya kura baada ya kupata...
3 Reactions
Replies
Views
NHC ni shirika la kitaifa,inakuwaje mkoa au mji mmoja unakuwa na miradi ya mabilioni ya shilingi inayoendelea halafu miji mingine haina hata mradi mmoja? Kuna maeneo kuna nyumba za NHC tena...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Akizungumza mara baada ya kukamailisha zoezi la uhakiki wa silaha zake. Rais amesema suala la umeya wa Dar ni aibu kila siku kuahirishwa na kusisitiza ni lazima demokarsia iaachwe ichukue mkondo...
7 Reactions
201 Replies
30K Views
Back
Top Bottom