Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ametoa amri inayokataza wakazi wa Mwenge stand kupaki magari yao na wenye maduka kushusha mizigo yao madukani. Huu ni ulevi mwingine wa madaraka uliovuka mipaka ya...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Kuhusu mjadala uliotuama mitandaoni ikimtaja Nape Nnauye kuwa shujaa baada ya kupinga uvamizi wa kituo cha televisheni cha Clouds Media uliofanywa na kiongozi wa Serikali aliyeambatana na askari...
36 Reactions
144 Replies
13K Views
Kwa macho yangu nimemuone mwanakijiji ameanguka kwa kukosa chakula na wengine wanakula mboga za majani za porini kama mchunga, tula (ndulele) bila nafaka yoyote. Nadhani tunafanya mzaha na maisha...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Baada ya kuzunguka nchi nzima na mikoa tofauti kuna utafiti nimeufanya nikagundua sifa za wafuasi wa vyama vya upinzani iwe CHADEMA, CUF au NCCR. 1.Ni vijana wanaojitegemea hawaishi kwa shikamoo...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi habari za majukumu!!! Demokrasia ni neno linalotambulisha kuwa katika jamii fulani ya watu kuna utawala uliowekwa na watu wenyewe kwa ajili yao na manufaa yao wenyewe. Kwa maana...
0 Reactions
5 Replies
741 Views
Hii inakwenda bila maswali mengi kwamba Mh. Makonda ameonesha sehemu zote dhaifu za vyama vya upinzani hapa nchini. Kwa muda sasa vyama vya upinzani hapa nchini vimekua vikijaribu kutoa...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wanajamvi... Jaman samahani naombeni msaada kidogo kuna kaubishi hapa, Swali: Kwann kikao cha Bunge kinaanza jumanne? Kuna mtu hapa anasema jumamos wabunge watakuwa wanasafiri jumapili...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mbunge wa viti maalum kwa mkoa wa Mwanza Susanne Makene amepokea taarifa ya polisi kuhusu zuio la mkutano wa hadhara eneo la Pasiansi Mwanza. Sababu zilizoelezwa ni kuwa Mbunge wa jimbo la...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Ndiye kiongozi wetu nambari moja wa nchi. Sisi watanzania tunapaswa kumuunga...
2 Reactions
12 Replies
811 Views
  • Redirect
Kwa wadau wa maddini na wataalam u wa mahhesabu je mtambo wa kuchuja na kuchakata mchanga wa madini haswa haswa copper concentrate inayodaiwa kuwemo kwenye makontena yaliyokmatwa ni shilingi ngapi...
0 Reactions
Replies
Views
ANAANDIKA ZACHARIAH HANS POPE.. Hili suala la mchanga wa dhahabu litaishia kulitia hasara kubwa taifa na hii tabia ya rais kukurupuka na amri kila kukicha kwenye mambo yenye mikataba si sahihi na...
62 Reactions
267 Replies
24K Views
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema Kila jioni watu wanaidharau Chadema Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto...
4 Reactions
147 Replies
8K Views
Alichaguliwa kuwa mbunge na kuteuliwa kuwa waziri katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, akiwa waziri wa nishati na madini mda mfupi tu akaumilikisha mgodi wa dhahabu wa buzwagi kwa wawekezaji...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Kama juu Uchaguzi Mkuu hauko mbali lakini maandalizi bado hayajaanza. Shida yetu ya kukosa viongozi bora ni jinsi utaratibu wa kupiga kura ulivyo. Tumeona kwenye bunge LA katiba,watu...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Huwezi kuwasikia CUF na NCCR wakilalamikia utaratibu uliotumika kuwapata Wabunge wa Upinzani katika Bunge la EALA. Matokeo yake wanabaki kuugilia kimoyomoyo maana wanajua walipokosea. CUF na MCCR...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Ibara ya 90-(2) inazungumzia sababu ambazo zinaweza kumfanya Raisi kulivunja Bunge wakati wowote. Moja ya sababu inayotajwa katika Ibara ya 90-(2)(e) inasema: endapo,kutokana na uwiano wa...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni mtazamo wangu. Uwezo wa hawa vijana ni mkubwa sana ilikuwa ni nafasi kuipeperusha bendera ya CHADEMA kuliko hawa wakongwe Wenje na Masha. Ambao tayari wameshatumikia nafas mbalimbali.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Taifa letu linaangamia kwa mengi lakini hili la kuwakatalia wafanyakazi hasa wa sekta binafsi fao la kujitoa au la kukosa ajira linarudisha nyuma juhudi binafsi za watanzania za kujikwamua kutoka...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam JF , Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa juu ya watawala wa eneo la Afrika Mashariki la Maziwa Makuu. Nchi za Uganda ya Museveni, Rwanda ya Kagame, Burundi ya Nkurunziza, DRC Congo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom