Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,970
- 45,848
Hii inakwenda bila maswali mengi kwamba Mh. Makonda ameonesha sehemu zote dhaifu za vyama vya upinzani hapa nchini.
Kwa muda sasa vyama vya upinzani hapa nchini vimekua vikijaribu kutoa matumaini feki kwa wananchi kwa uwepo wa mbadala wa chama tawala.
Lakini mara zote wajuvi wa siasa za nchi hii wamekuwa wakijaribu kuwatahadharisha wananchi na ulaghai huo, mpaka ilipofikia sakata la Mh. Makonda.
Mh. Makonda amefanikiwa kutuambia kwamba sera za upinzani zinategemea CCM wanasema na kufanya nini.
Makonda amedhihirisha kwamba kama akihamia Upinzani kila tuhuma itafutwa na kubakia Historia.
Kwa ufupi makonda amedhihirisha namna upinzani ulivyo dhaifu kuweza kutuongoza.