Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

SEHEMU YA II - CHADEMA tunasema hivi, Rais Magufuli acha mchezo wa kucheza na maisha ya madaktari wetu, katika mazingira ya kawaida, ingekuwa wanakwenda Kenya wakati kuna hali ya utulivu, kuna...
27 Reactions
199 Replies
17K Views
  • Redirect
Juzi tu apa tulikuwa na Kikwete mkasema anacheka cheka ovyo oooh mara hana maamuzi. Sasa huyu ni Dr John Pombe Magufuli, the man of action, the man of desicion...ikifyuu yeye ana fwaa, ukimyuuuu...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Usikose kumsikiliza gwajima clouds fm mda huu kuanzia saa 4 asubuhi. yupo live now.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Yuko kwenye kipindi cha Leo tena. Fuatilia Mod nisaidie kurekebisha tittle ni Clouds
0 Reactions
Replies
Views
Katika hotuba yake ya jumatatu, Rais Magufuli alitoa rai(?) kuwa watanzania tuache 'udaku' na 'viposti posti', na badala yake tujikite katika kujadili habari zitakazoleta maendeleo katika nchi...
1 Reactions
0 Replies
848 Views
Ningeshangaa sana kama haya yanayotokea yasingetokea, kila mtu wakati wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi aliona jinsi vigisufigisu zilivyotawala, tuliona wazi demokrasia ilivyoendeshwa, kati...
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Hii ilikuwa kali,, watu wanabaki macho kodo!! Huku mh. Rais wa Darisalama akishusha mapande!! Ila u-Bashite umemshusha hadhi sana huyu jamaa ni kwa vile ni taahira tu ndo maana ataendelea kutukana...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
  • Redirect
Mimi kwa mtazamo wangu nadhani ni vyema wananchi tukajikita kwenye mijadala ya maendeleo na kutoka kabisa kumjadili makonda kama kafoji vyeti time will tell,..... Kwa nini hii imekuwa kama ndio...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu wanajamiiforum.. Ni aibu sana ukifungua jamiiforum kila thread Makonda! Hii nchi ya ajabu sana Tena sana. Thread za Maendeleo watu hawachangii kwamfano kuna MTU alianzisha thread/Uzi WA...
7 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana Dar sasa Fitna,Ukweli,Uzushi,Majungu,Wivu,Kila aina ya vioja tumeona na kusikia kuhusu RC Dar,Mteule wake bado anamwamini sisi hatuwezi kupinga kamwe kwa mujibu wa katiba na sheria. Tumwache...
1 Reactions
Replies
Views
Hospitali ya Apollo India huenda ikasitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania kutokana na deni kubwa inayodai. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Daudi Albert Bashite tumbo joto baadae ya hasim wake wa kipundi kifupi kutembelea Clouds. Media Group kesho siku ya tar 22/3/2016 mida ya saa nne
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nachukua fursa hii kukikumbusha Chama changu cha CCM kadri mambo yanavyoenda sasa hivi na matatizo ya kimaisha tunayokumbana nayo sisi wananchi huku mitaani NATABIRI mambo yatakuwa magumu sana...
1 Reactions
3 Replies
685 Views
Alichofanya RC ni matumizi mabaya ya madaraka, tunasubiri ripoti ya tume ifike kwetu'- Serukamba Mwenyekiti Kamati ya Bunge Huduma za Jamii
1 Reactions
182 Replies
20K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Nchi za Libya na Misri ziliingia kwenye machafuko kutokana na tamaa za watu wachache na kwa sababu za kijinga jinga. Tanzania tumeanza kunyemelewa na hali hiyo pale...
43 Reactions
141 Replies
9K Views
  • Redirect
Mama Kijo Bisimba amewaasa watanzania kuonyesha hasira zao dhidi ya utawala unaowadharau. Amesikitishwa na kauli ya Mh.Rais kwamba yeye hapangiwi na mtu nini cha kufanya Bisimba ameenda mbali...
1 Reactions
Replies
Views
Inakumbukwa baada ya kuhusishwa kwa jina la Manji katika list ile ya RC kuhusu dawa za kulevya, Manji aliongea na wanahabari na kusema atafungua kesi kumshitaki Mkuu wa Mkoa dhidi ya kumchafulia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Ndugu wanajamvi, wiki hii kwa masikitiko makubwa tumedhalilishwa na kiongozi wa nchi na kuitwa watu wa udaku kisa tu kutoa mawazo huru na kumpa ushauri katika nchi huru, sasa nasema ndugu zangu...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kutokana na sakata la Mh Makonda kuingia Clouds Media usiku, kila mtu amekua akisema yake. Wengi katika hao wanalaani Mkuu wa mkoa kufika pale akiwa na askari polisi wenye silaha. Wakumbuke polisi...
2 Reactions
Replies
Views
Mtu yeyote akivamia nyumba ya mtu au chombo cha habari, huyo ametenda kosa la jinai. Kuvamia media house tena akiwa na silaha, hilo siyo kosa la madai (civil case). Anaweza waomba cloud msamaha...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom