Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
 
ustadhi!
 
CCM uongozi uliyopo ni mbovu sana hasa huyu Magufuli ana roho mbaya mpaka anakera

Lakini Chadema ni chama cha wanafiki kisichojua kinasimamia wapi.

Kwa kifupi TZ mpaka sasa hakuna chama cha upinzani ambacho kina afadhari na kina misingi imara itakayo tushawishi wananchi tuwapatie nchi.

Bila hivyo tutaendelea kuipigia kura CCM mpaka tunaingia kaburini.
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Umekosea.Ungejiuliza hivi. "Hivi kwa nini mimi siipendi chadema" Ungeeleweka vema.
 
Toa research uliyofanya hadi kufikia hiyo data analysis! "Watu" gani hao? Sio kutoa naneno tu hapa!
 
Back
Top Bottom