Malisa na Bob Wangwe walistahili kupeperusha bendera ya CHADEMA EALA!

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,443
2,643
Ni mtazamo wangu. Uwezo wa hawa vijana ni mkubwa sana ilikuwa ni nafasi kuipeperusha bendera ya CHADEMA kuliko hawa wakongwe Wenje na Masha.

Ambao tayari wameshatumikia nafas mbalimbali.
 
Acha waisome namba.
Nasikia mwenye nacho anaongezewa!
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Sio mwanachadema, lakini unachosema kina maana.
Hao wangebaki kama washauri, Vijana wapewe exposure ili kwa baadae wawe na uwezo kwa kuongea vitu vya maana sio vya kutungatunga visivyo na facts.

Ndio maana Tunasema Chadema ni chama cha democrasia kisicho na maendeleo wala Democrasia yenyewe, nguvu kubwa wameelezea tumboni na kuisema serikali
 
Kabisa!
 
hapo ndio utagundua kuna malengo marefu na mapana au myopic goals.
Wakati vijana wa CCM wako Informed,Strong,Mentally matured kupitia kupewa fursa kwenye mambo makubwa na kukaa kwenye vyanzo vya taarifa sahihi unakuja kuwapambanisha na vijana waliojaa tuhuma za mitandaoni, Wasiojua mambo katika uhalisia wake, politically imature lazima wafeli.
Changamoto badala ya kuhangaika na nyumba ya jirani, watengeneze mambo ya familia yao kwanza ili waone kama wanafaa au wamepoteza mwelekeo.
Ushauri wa bure
 
~~~>>>Upinzani ujifunze kuwajenga na kuwaamini vijana kila inapotokea fursa........
 
Wenje ni sawa alivyopewa hiyo nafasi lakini Masha mmmmh! Masha aliingia CHADEMA baada ya kukwama CCM, wapo vijana wa CHADEMA ambao wameihangaikia, wamekutwa na maswahibu ya kila aina, wamejitoa kwa hali na mali ndani ya CHADEMA hao kwa mtazamo wangu ndio walistahili kupata nafasi hiyo sio MASHA agggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
hapo ndio utagundua kuna malengo marefu na mapana au myopic goals.
Wakati vijana wa CCM wako Informed,Strong,Mentally matured kupitia kupewa fursa kwenye mambo makubwa na kukaa kwenye vyanzo vya taarifa sahihi unakuja kuwapambanisha na vijana waliojaa tuhuma za mitandaoni, Wasiojua mambo katika uhalisia wake, politically imature lazima wafeli.
Changamoto badala ya kuhangaika na nyumba ya jirani, watengeneze mambo ya familia yao kwanza ili waone kama wanafaa au wamepoteza mwelekeo.
Ushauri wa bure
hapo ndio utagundua kuna malengo marefu na mapana au myopic goals.
Wakati vijana wa CCM wako Informed,Strong,Mentally matured kupitia kupewa fursa kwenye mambo makubwa na kukaa kwenye vyanzo vya taarifa sahihi unakuja kuwapambanisha na vijana waliojaa tuhuma za mitandaoni, Wasiojua mambo katika uhalisia wake, politically imature lazima wafeli.
Changamoto badala ya kuhangaika na nyumba ya jirani, watengeneze mambo ya familia yao kwanza ili waone kama wanafaa au wamepoteza mwelekeo.
Ushauri wa bure
Wajinga ndiyo waliwao, acha waendelee kupuliza mavuvuzela humu mitandaoni.
 
wenje ni mzee?adam kimbisa ni kijana?makongorwn nyerere ni kijana,?shy rose bhanji ni mzee?stupid post
 
Ccm mnaogopa Masha na Wenje wanaenda kuwa vinara huko mnatamani hata kubadili majina
 
KUWACHAGUA WAHESHIMIWA WENYE NA MASHA (TOKA MKOANI MWANZA AU KANDA YA ZIWA UKIPENDA) NI SIASA NZURI SANA ZA KIMKAKATI KATIKA WAKATI HUU TULIO NAO. WENYE AKILI WANAJUA HILI. PIA NI KWELI KWAMBA HAWA WOTE NI WATU MAKINI, SIO KATIKA SIASA ZA VYAMA, ZAIDI KWA NCHI YETU, KWA SABABU WANAENDA KUITETEA TAZANIA NDANI YA EAC (EALA). KULE KUNATAKIWA WATU WANAOJUA NA KUPENDA NCHI ZAO. HAWA WAWILI SINA MASHAKA. TUWAUNGE TU MKONO.
 
Una huhakika gan ka Wanaipenda Nchi....Kwa Nchi za kiafrica wanasiasa hawapendi nchi zaidi matumbo na Madaraka
 
Hao bado hawajakomaa kuwa Wabunge. Kukomaa kunahitaji muda. Mwaka 2020 watafaa kupewa nafasi hata Majimboni. Waendelee kuvumilia kuwa chini ya uangalizi wa wakuu wao na kukitumikia chama chao. Mvumilivu hula mbivu.
 
Back
Top Bottom