Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Salaam JF ,
Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa juu ya watawala wa eneo la Afrika Mashariki la Maziwa Makuu. Nchi za Uganda ya Museveni, Rwanda ya Kagame, Burundi ya Nkurunziza, DRC Congo ya Kabila, wageni Sudan Kusini na Tanzania ya Magu zinaendeshwa kwa mkono wa chuma.Kenya ya Uhuru Kenyata pekee ndio yenye watu wabishi waliokataa ubabe lakini kwa gharama ya damu.Nchi hizi zitapata utawala wa demokrasia ya kweli karibuni? Tujadili.