Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,886
Mbunge wa viti maalum kwa mkoa wa Mwanza Susanne Makene amepokea taarifa ya polisi kuhusu zuio la mkutano wa hadhara eneo la Pasiansi Mwanza.
Sababu zilizoelezwa ni kuwa Mbunge wa jimbo la Ilemela atakuwa na mkutano eneo hilo, sababu nyingine ni za kiusalama, MbungeSusanne Makene amezungumza na AyoTV namillardayo.com alivyoipokea taarifa hiyo ya Jeshi la Polisi wilaya ya Ilemela. Bonyeza play hapa chini kuitazama.