Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amemrudishia uanachama aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore na kumruhusu kuendelea na wadhifa wake katika chama...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wimbi la wahamiaji haramu ambao huingia na kundi kubwa la mifugo wakitokea nchi jirani limerudi upya tena safari hii kwa kasi na kujiamini na kiburi .Wahamiaji hawa itakumbukwa walifurushwa na...
11 Reactions
83 Replies
6K Views
Najiuliza sana sina majibu... hivi kama kilo moja ya dhahabu ina gharama kubwa kiasi hicho (wajuvi mtanijuza thamani halisi kwa sasa ya 1kg ya Aurum _Ag _dhahabu), kwa nini tusizuie kwanza hii...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kiongozi aliyeingia madarakani, kwa kumuondoa Rais halali aliyechagulia na wananchi Na leo anakuwa Rais wa kwanza kutoka Afrika, kualikwa na kuonana na Rais mpya kutoka...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari za jioni wadau, binafsi mimi naona chadema inapaswa kumpa nafasi mwanadada wema sepetu kwa sababu Ana vigezo hasa kile cha lugha ya kiingereza na kile cha kujipambanua kisiasa. Kama...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mheshimiwa naandika kwa kifupi ; Ukitaka kufanikiwa kuleta mageuzi makubwa kwenye mashirika kama Air Tanzania, TANESCO, General Tyre, Twiga Bancorp n.k tumia CEO's wenye vipaji. Duniani kote...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ushauri kwa Mbowe. Mapendekezo Mapya: Weka Wema Sepetu na Amani Golugwa, au Weka Mgombea wa Kike aliyeanguka 2015 na James Lembeli, au Weka Neema Kishebuka na John Mrema, au Weka Dady Igogo...
1 Reactions
Replies
Views
Nimekuwa najiuliza sana juu ya hili, Kwanini serekali yetu hujikadiria matrillion mengi mno katika miaka yake ya kifedha huku pengine ikifahamu haitaweza kufikia kupata kiasi hicho? Naomba...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Pamoja na kujitahidi Kwake kote kutaka kuwashawishi hasa Wapinzani wenzake wakiongozwa na CHADEMA jana Mbunge Zitto Kabwe alionja sehemu chungu ya ' Unafiki ' wake pale ambapo alipowaomba...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
After Magufuli, Makonda; if in doubt, remember Mwakyembe and Nape’s fate &title=After%20Magufuli,%20Makonda;%20if%20in%20doubt,%20remember%20Mwakyembe%20and%20Nape’s%20fate']...
1 Reactions
0 Replies
599 Views
" CHADEMA IACHE UPOTOSHAJI KUHUSU MGOGORO WA CUF" TATIZO KUBWA KABISA LA CUF NI MAALIM SEFU" Na Salum Chilwa. ------------------------------- Kumekuwa na Taarifa Zinazotolewa Mara Kwa Mara na...
6 Reactions
76 Replies
5K Views
We’ve not seen this type of African Big Man rule yet &title=We’ve%20not%20seen%20this%20type%20of%20African%20Big%20Man%20rule%20yet']...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Kwa kuwa rais wa dunia ni Trump wa Marekani ni wakati muafaka sasa Afrika nayo iwe na kiongozi wake ili kuwa na sauti ya pamoja katika masuala yenye maslahi mapana na bara hilo ndani na nje ya...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada. Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Siku zote wahenga wanasema usiache mbachao kwa msala upitao. Pia wahenga wanasema usitupe jongoo na mti wake. Kwa sasa wafuasi wa CHADEMA mitandaoni tumeanza kampeni tuliyoipa jina la TUNDU LISSU...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Mosore arejeshewa cheo chake NCCR MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amemrudisha Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore kuendelea na wadhifa wake. Soma zaidi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge. Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye...
41 Reactions
463 Replies
61K Views
Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia. Huu ndiyo wakati wenyewe muafaka wa kulijenga taifa letu imara katika kusimamia demokrasia na misingi ya utawala bora. Tukiweza kusimamia utawala wa...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
  • Redirect
MTANDANDA WA VODA KWA SASA NI WA USUMBUFU MNO. NIMETUMA PESA SHILINGI 100,000/- KWENDA KWENYE KAMPUNI FULANI. LEO SIKU YA NNE PESA HAIJAFIKA NIKIWAULIZA VODA WANASEMA PESA YANGU IKO HEWANI...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom