Uchaguzi waTanzania 2020

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,005
1,337
Kama juu
Uchaguzi Mkuu hauko mbali lakini maandalizi bado hayajaanza. Shida yetu ya kukosa viongozi bora ni jinsi utaratibu wa kupiga kura ulivyo.
Tumeona kwenye bunge LA katiba,watu waliokuwa nje ya nchi waliruhusiwa kupiga kura. Wagokjwa na maiti zilipiga kura,
Lakini uchaguzi Mkuu ukifika watanzania waloko nje ya nchi hawaruhusiwi kupiga kura.

Cha ajabu zaidi hata walio ndani, kama hukujiandikishia Kata tu uliyopo huruhusiwi kupiga kura. Hii ni double standard.
Tunaomba tume ifanye marekebisho ili watanzania wote washiriki kuchagua viongozi wa nchi yao.
Ongeza chochote kuboresha Uzi huu
 
Back
Top Bottom