Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

JAJI Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman amesema mahakama nchini ziko huru, hazipendelei upande wowote wala kushinikizwa na mtu tofauti na baadhi ya watu wanavyofikiri au wakati mwingine...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Tumepigania HAKI yetu ya kugombea kuwakilisha nchi EALA Kwa kutumia njia zote sahihi Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge. Tukishinda na kupata haki hiyo tutashukuru. Tukishindwa na kukosa haki hiyo...
24 Reactions
87 Replies
6K Views
Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema hatasita kuwachukulia hatua Waajiri Wanaowanyima ruhusa Wafanyakazi kwenda Masomoni baada ya kupata ufadhili. Kayasema hayo katika Taasisi ya Chuo Kikuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chanzo: MWANANCHI (3 April 2017) Uchunguzi uliofanywa kwenye baadhi ya masoko jana na juzi umebaini kuwa bidhaa mbalimbali zimepanda bei yakiwamo maharage ambayo yamepanda kutoka Sh 1800 hadi...
1 Reactions
1 Replies
652 Views
Serikali ya JPM, ilihakikisha umma hauupati uchambuzi huu. Tunauwasilisha kwenu kwa njia mbadala. ======== UCHAMBUZI WA BAJETI YA SERIKALI 2016/17 Kabwe Z. Ruyagwa Zitto (Mb) Kiongozi wa Chama...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Serikali ya awamu ya 5 chini ya rais Magufuli huenda imefanikiwa kuzima harakati na shughuli zilizokuwa zinaupaisha upinzani Kwa sasa kiuhalisia wabunge wa upinzani hawana nafas ya kuwatumikia...
0 Reactions
12 Replies
929 Views
Kama kawaida yetu Tanzania tumebadili gia angani kwa mara nyingine. Lengo la Serikali yetu tangu 2013 ni kuuza umeme nje ya nchi. Tena tulijipa mwaka tu hadi kutimiza lengo hili. Yaani tuliambiwa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za usiku ndugu zangu leo ningependa tujiulize kwa muda wa zaidi ya mwaka mzima ni waziri yupi unamuona kama jipu kwa upande wangu naona waziri wa elimu ni jipu yaani mipango yake mingi ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni habari katika gazeti la TanzaniaDaima la siku ya leo. Sasa ndugu yangu Nape hebu jiulize thamani yako ndani ya chama chako iko wapi ikiwa mtu alietenda kosa la kukutishia uhai wako kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Magufuli Jana Tarehe 01/04/2017 ametoa zawadi ya Shilingi milioni 20 kwa wananchi waliojitokeza kwa wingi Kumuaga waziri mkuu wa Ethiopia...
5 Reactions
Replies
Views
Rais Magufuli kaunda tume ya kuchunguza mchango wa sekta ya madini nchini Tanzania,anataka kuona kama kuna ukweli kwenye hii biashara ya madini!. Rais Magufuli tunakupongeza kwa kuonesha nia ya...
13 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Redirect
1. Tanzania kuuza umeme nje ya nchi...tuna gesi mita za ujazo zaidi ya trilioni 3000 (Prof. Mwongo)...
0 Reactions
Replies
Views
Salam wakuu,asubuhi iwe njema kwenu. Nami pia sijambo. Baada tu ya Rais Magufuli kuingia darasani, vyama vya upinzani ni kama vimepoteza mwelekeo au pengine kuzimwa kabisa kistrategies. Rais...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tumezoeatoka kwa Marais waliopita kuhutubia taifa Lila mwisho Wa mwezi. Marais hawa walikuwa wakitumia nafasi hiyo kueleza au kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na matukio mbalimbali...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Redirect
Haya ni maajabu makubwa na yanatakiwa yawekwe kwenye rekodi za dunia. Kama alivyosema Msigwa, kuyakubali haya unatakiwa ukapimwe akili cha ajabu Msigwa huyo huyo anayakubali na kushangilia kweli...
3 Reactions
Replies
Views
Bavicha walikuwa wanaongoza kumponda Rc kwamba anataja vidagaa badala ya mapapa wa dawa za kulevya. Leo mara baada ya kutangazwa kwa majina ya watuhumiwa Papa wa dawa za kulevya, kama kawaida yao...
42 Reactions
242 Replies
17K Views
  • Redirect
Mara nyingi Kila Rais wa Tanzania hupenda kuongea Na Wazee wa mkoa wa DSM.Sababu kubwa nadhani ni imani kuwa wana busara sana Na ujumbe watakaopewa wataufikisha Kwa waliochini yao Kwa maana watoto...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Najiuliza inakuwaje Slaa na Zitto kukaa kimya hapo zamani na hatimaye hivi sasa kuhusiana na tuhuma nzito dhidi ya mwenyekiti wao wa chama wa enzi hizo...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom