Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Baada ya kuzunguka nchi nzima na mikoa tofauti kuna utafiti nimeufanya nikagundua sifa za wafuasi wa vyama vya upinzani iwe CHADEMA, CUF au NCCR.
1.Ni vijana wanaojitegemea hawaishi kwa shikamoo baba au shikamoo shemeji.
2.Ni watu ambao wanategemewa na majukumu makubwa kama vile kusomesha na kusaidia wazazi ndugu na jamaa.
3.Ni watu ambao waangaikaji katika kutafuta maisha bora na sio kukaa nyumbani kusubilia msosi wa kengelee.
4.Ni watu ambao wamesoma ila wanaumizwa sana na tatizo la ajira huku ajira zenyewe zikitolewa kiundugu.
5.Ni watu ambao wanapitia kipindi kigumu na vikwazo vingi katika mafanikio ya maisha.
Haya endeleani kutoa nondo