ANAANDIKA ZACHARIAH HANS POPE..
Hili suala la mchanga wa dhahabu litaishia kulitia hasara kubwa taifa na hii tabia ya rais kukurupuka na amri kila kukicha kwenye mambo yenye mikataba si sahihi na...
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto...
Alichaguliwa kuwa mbunge na kuteuliwa kuwa waziri katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, akiwa waziri wa nishati na madini mda mfupi tu akaumilikisha mgodi wa dhahabu wa buzwagi kwa wawekezaji...
Kama juu
Uchaguzi Mkuu hauko mbali lakini maandalizi bado hayajaanza. Shida yetu ya kukosa viongozi bora ni jinsi utaratibu wa kupiga kura ulivyo.
Tumeona kwenye bunge LA katiba,watu...
Huwezi kuwasikia CUF na NCCR wakilalamikia utaratibu uliotumika kuwapata Wabunge wa Upinzani katika Bunge la EALA. Matokeo yake wanabaki kuugilia kimoyomoyo maana wanajua walipokosea. CUF na MCCR...
Ibara ya 90-(2) inazungumzia sababu ambazo zinaweza kumfanya Raisi kulivunja Bunge wakati wowote.
Moja ya sababu inayotajwa katika Ibara ya 90-(2)(e) inasema:
endapo,kutokana na uwiano wa...
Ni mtazamo wangu. Uwezo wa hawa vijana ni mkubwa sana ilikuwa ni nafasi kuipeperusha bendera ya CHADEMA kuliko hawa wakongwe Wenje na Masha.
Ambao tayari wameshatumikia nafas mbalimbali.
Taifa letu linaangamia kwa mengi lakini hili la kuwakatalia wafanyakazi hasa wa sekta binafsi fao la kujitoa au la kukosa ajira linarudisha nyuma juhudi binafsi za watanzania za kujikwamua kutoka...
Salaam JF ,
Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa juu ya watawala wa eneo la Afrika Mashariki la Maziwa Makuu. Nchi za Uganda ya Museveni, Rwanda ya Kagame, Burundi ya Nkurunziza, DRC Congo ya...
Kiukweli, namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo, Mshauri wa ACT-Wazalendo. Anashiriki siasa, anazipenda lakini siasa hazimpendi. Kuna wakati, alipokuwa CHADEMA, alifanya ziara za kujitangaza Jimboni...
Wadau, amani iwe iwenu.
Wakati mwingine tunahitaji Serikali yenye roho ngumu kuweza kupambana na maovu. Bila shaka madawa ya kulevya ni janga kuu ambalo linateketeza maisha ya watu wengi. Kwa...
Vita alioianzisha zitto kiongozi mkuu wa ACT maendeleo ya kudai chama chake kipate nafasi katika bunge la africa mashariki ni faida kwa kwa wapinzani wote.
Ghafla amepata upinzani wa hali ya juu...
Leo tarehe 2 April 2017 kuanzia majira ya mchana mfumo wa Luku haupo hewani na TANESCO haijatoa taarifa yoyote kwa wateja wake wala kampuni ambayo TANESCO imeingia nayo mkataba kutoa huduma hiyo...
Kwa taarifa za uhakika kutoka Dodoma, kupitia kikao cha Kamati ya Kanuni ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki utafanyika kama...
Kesho Bunge linakutana kwa vikao vyake vya Bajeti mjini Dodoma, lakini agenda ya moto zaidi ni uchaguzi wa wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Yapo mengi...
Kwanza hatua tuliyofikia, upinzani hauwezi kuwa na uhalali wa kuisimamia Tanzania tangu walipokumbatia wale tuliowalalamikia na kuwasafisha kwa brashi ya chuma. Kauli iliyowahi kunitisha ni ile...
JAJI Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman amesema mahakama nchini ziko huru, hazipendelei upande wowote wala kushinikizwa na mtu tofauti na baadhi ya watu wanavyofikiri au wakati mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.