Mwananchi: Bei ya vyakula haishikiki, yapanda kila kona ya nchi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,884
20170403_043107.jpg
 
Hata ukifanya kazi kwa bidii ukaipata hiyo hela haina thaman maana 10000 ni km buku mbili tu sasa hivi
 
Kupanda kwa bei ya bidhaa kama sukali, Unga, Michele, maharage ni aibu kwa CCM. SERIKALI inawatesa sana wananchi walio masikini.

CCM sio chama kinachotetea na kuwajali raia wa nchi hii bali ni kuwaibia, kuwahadaa, kuwatesa na kuwafanya wawe masikini zaidi.

CCM inawakumbatia Mafisadi, majizi, na watu wenye mali (Matajiri)

CCm imedidimiza maendeleo ya Taifa hili, imebaki kuchonganisha vyama vya upinzani kwa kumtumia Lipumba na Msajili wa vyama vya siasa.

Siku ya mwisho mtajibu mbele ya Mola!
 
Wakati wengine wanalima nakufanya kazi mmekalia umbea kila siku kusogoa acha ipande wakulima wanufaike.
 
Hawa ndio wanaoongoza kupandisha bei za bidhaa, mtu akishaona bei zimepanda hata kama alikuwa hajapandisha na yeye anapandisha. Kupanda kwa bei ya vyakula kwa sasa ni jambo la kawaida na lipo misimu yote kwasababu huu siyo wakati wa MAVUNO, Watu ndo kwanza wanapanda na kupalilia, unapoanza kuleta miporojo ndio watu kama hata aliluwa na chakula anaficha ili auze kwa bei kubwa zaidi. Yaani nchi hii waandishi wa magazeti na wanasiasa wote **** tu, mama ntililie hapa mtaani kwetu alikuwa anauza msosi wali 1,000, miporojo ya siasa ilipoanza njaa njaa akapandisha 1500, wanasiasa na magazeti uchwara yote **** tu
 
Afrika Mashariki NZIMA inapitia MFUMUKO wa bei kutokana na hali ya hewa!
WAO HAWAJUI HILO, WANACHOJUA NI SIASA - MAANA MATATIZO YA WATU NDIO MTAJI WA SIASA, NA HAWAPENDI KUONA YANAKWISHA YATAWANYIMA AGENDA - MTAJI
 
Si ndio zenu, Ingekuwa Gwajima kusema mngeamini fasta, hii picha ni ya Sasa hivi asubuhi angalia na jua linachomoza
Gwajima kumuamini haina shaka kabisa kwakuwa unaona picha yake na sauti yake na muda alioutumia kuongea. Ila picha hiyo haina ushahidi wowote ya wakati fulani, hivyo ni rahisi kwa mtu yoyote kuwa na mashaka.
 
TUKIO LA WIKI HII LIMEKOSEKANA BAADA YA JANA GWAJIMA, KUTOTOA UBUYU WA BASHITE, SO IMETUBIDI TU REWIND LA NJAA
Watu wana stress ndio maana wanaishi kwa matukio ili kupata sehemu ya kushushia stress zao.
 
Back
Top Bottom