Namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo wa ACT-Wazalendo

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Kiukweli, namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo, Mshauri wa ACT-Wazalendo. Anashiriki siasa, anazipenda lakini siasa hazimpendi. Kuna wakati, alipokuwa CHADEMA, alifanya ziara za kujitangaza Jimboni kwa Mwigulu Nchemba kule Iramba 'akijiandaa' kugombea kupitia CHADEMA. Mambo yakawa siyo. Yakapita.

Juzi tu hapa, aliteuliwa na ACT-Wazalendo kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki almaarufu kama EALA. Truly, he was the best candidate of them all. Bunge limetoa maelekezo, kupitia Katibu wa Bunge Dr. Thomas Kashililah kuwa ACT-Wazalendo na NCCR hawatapata kiti hata kimoja.

Huo ni ukomo wa mbio za Prof. Kitila katika kuusaka Ubunge wa EALA. Katika mgawanyo uliofanyika kulingana na idadi na asilimia za Wabunge wa vyama vya siasa Bungeni, CCM tumepewa nafasi 6; CHADEMA 2 kama walivyo wagombea wao na CUF 1. Nafasi 9 zimeishia hapo. Prof. Kitila na Wakili Msando wamekwama.

Namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo. Afadhali angebaki ndani ya CHADEMA apambane humo. Vivyohivyo kwa Wakili Msando.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Njaa ndio inawavua nguo wasomi wetu!

Hivi Zitto +kitila hawakuliona hili hadi wakurupuke kwa namna hii?

Prof anasikitisha kweli na ameishiwa
Walijua kanuni haziruhusu lakini kwa vile siasa za Zitto & co. ni za kijinga huwa ana create confrontations za kijinga ili apate sababu za kulaumu upinzani hasa Chadema kuwa wanamhujumu kwa lengo la kupata sympathy.
 
Inaelekea walikuwa na matumaini spika atakubaliana nao, na wangeingia kwenye kapu walikuwa na hakika CCM ingewatema CDM na CUF Maalim. Baada ya kanuni kutopindishwa inabidi nao waisome namba wajipange vizuri. Kitila na Albert bado ni vijana (relatively) bado wanaweza kutoka tena 2020 (JMT au EALA) wajipange tu ACT-kipekee au washirikiane na wapinzani wengine.
 
Kiukweli, namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo, Mshauri wa ACT-Wazalendo. Anashiriki siasa, anazipenda lakini siasa hazimpendi. Kuna wakati, alipokuwa CHADEMA, alifanya ziara za kujitangaza Jimboni kwa Mwigulu Nchemba kule Iramba 'akijiandaa' kugombea kupitia CHADEMA. Mambo yakawa siyo. Yakapita.

Juzi tu hapa, aliteuliwa na ACT-Wazalendo kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki almaarufu kama EALA. Truly, he was the best candidate of them all. Bunge limetoa maelekezo, kupitia Katibu wa Bunge Dr. Thomas Kashililah kuwa ACT-Wazalendo na NCCR hawatapata kiti hata kimoja.

Huo ni ukomo wa mbio za Prof. Kitila katika kuusaka Ubunge wa EALA. Katika mgawanyo uliofanyika kulingana na idadi na asilimia za Wabunge wa vyama vya siasa Bungeni, CCM tumepewa nafasi 6; CHADEMA 2 kama walivyo wagombea wao na CUF 1. Nafasi 9 zimeishia hapo. Prof. Kitila na Wakili Msando wamekwama.

Namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo. Afadhali angebaki ndani ya CHADEMA apambane humo. Vivyohivyo kwa Wakili Msando.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee Tupatupa, kwa kweli hilo nalo neno, tatizo harakati zozote zile hazitakiwi kuwa na haraka. Unaweza ukajenga jina kwa muda mrefu, lakini kuriharibu ni siku moja tu. Ogopa sana kutoaminiwa na watu.
 
Da !njaaa sana hasa zitto kujipendeza sana kwa fisemu
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Inaelekea walikuwa na matumaini spika atakubaliana nao, na wangeingia kwenye kapu walikuwa na hakika CCM ingewatema CDM na CUF Maalim. Baada ya kanuni kutopindishwa inabidi nao waisome namba wajipange vizuri. Kitila na Albert bado ni vijana (relatively) bado wanaweza kutoka tena 2020 (JMT au EALA) wajipange tu ACT-kipekee au washirikiane na wapinzani wengine.
Du CUF Maalim!!!
 
Kiukweli, namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo, Mshauri wa ACT-Wazalendo. Anashiriki siasa, anazipenda lakini siasa hazimpendi. Kuna wakati, alipokuwa CHADEMA, alifanya ziara za kujitangaza Jimboni kwa Mwigulu Nchemba kule Iramba 'akijiandaa' kugombea kupitia CHADEMA. Mambo yakawa siyo. Yakapita.

Juzi tu hapa, aliteuliwa na ACT-Wazalendo kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki almaarufu kama EALA. Truly, he was the best candidate of them all. Bunge limetoa maelekezo, kupitia Katibu wa Bunge Dr. Thomas Kashililah kuwa ACT-Wazalendo na NCCR hawatapata kiti hata kimoja.

Huo ni ukomo wa mbio za Prof. Kitila katika kuusaka Ubunge wa EALA. Katika mgawanyo uliofanyika kulingana na idadi na asilimia za Wabunge wa vyama vya siasa Bungeni, CCM tumepewa nafasi 6; CHADEMA 2 kama walivyo wagombea wao na CUF 1. Nafasi 9 zimeishia hapo. Prof. Kitila na Wakili Msando wamekwama.

Namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo. Afadhali angebaki ndani ya CHADEMA apambane humo. Vivyohivyo kwa Wakili Msando.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
So sad. Kanuni inapelekea kupeleka watru Ilimradi. Poor Tanzania!
 
Du CUF Maalim!!!
Sijapata jina sahihi. Maalim anawafuasi Zenj na Tanganyika na Lipumba hivyo hivyo ndo maana naogopa kuita CUF Zenj na CUF Tanganyika. Lakini muda si mrefu tutajua tu hatma yao.
 
hivi huu mgogoro una mkono wa chama gani au mtu gani!!nasikitika ninapoona wamoja wanafarakana!
 
Leo umechemka.....nilidhani ungejadili kanuni na matakwa ya bunge la EALA kama ACT walikuwa sahihi kushiriki ama la. Kushinda ama kushindwa ni matokeo tu ya demokrasia....huna haja ya kusikitika.
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Prof aendelee tu kufundisha vijana wetu hapo UDSM
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Back
Top Bottom