Unafikiri hajipendi?Si amefukuzwa Ukatibu Mkuu wa CUF na Prof. Lipumba? Nashauri Prof. Lipumba yeye aanzie ziara zake Pemba ili kuwaeleza wanachama wa CUF kuhusu kumfukuza Maalim Seif. Nenda Mwenyekiti Lipumba!
Kule akinusa tu atakatwa pua.Si amefukuzwa Ukatibu Mkuu wa CUF na Prof. Lipumba? Nashauri Prof. Lipumba yeye aanzie ziara zake Pemba ili kuwaeleza wanachama wa CUF kuhusu kumfukuza Maalim Seif. Nenda Mwenyekiti Lipumba!