kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,352
- 21,449
Vita alioianzisha zitto kiongozi mkuu wa ACT maendeleo ya kudai chama chake kipate nafasi katika bunge la africa mashariki ni faida kwa kwa wapinzani wote.
Ghafla amepata upinzani wa hali ya juu na watu kumuona kama mchawi,la msingi hapa ni kufikiria kuwa leo zitto anaminyana sababu yeye ana kiti kimoja, lakini tunasahau kesho unaweza kuwa na kiti kimoja .
Nani alitegemea nccr itafikia kuwa na kiti kimoja ila ndio siasa za kitanzania reverse inawezekana kwa kila jambo ila watu wanaona walipo hawawezi kuanguka,
pa kumzodoa zitto ni pale yeye atapokataa mapendekezo aliyo ya aasisi,muda unakwenda mbio vizazi vinageuka.
zitto ameona mbali hoja yake ikikubaliwa faida kwa wote na ikikataliwa itakuwa ndio imeanzisha mjadala wa mabadiliko katika uchaguzi ujao wa bunge la Eala
Tumuunge mkono sio kumpinga na kumzodoa!