Katika mjadala unaoendelea kuhusu hali ya utendaji wa JPM, kuna sauti zinasikika zikidai kuwa ili aweze kutekeleza maono yake vizuri aharakishe katiba mpya. Yeye amesikia kuwa mchakato ulifika...
Nakumbuka siku za nyuma kidogo, kulikuwapo madalali wabaya, hawa jamaa walikuwa wakiwaunganishia wanafunzi mashuleni kwa majina ya watu wengine.
Napenda nitoe ushauri, nionavyo mimi baada ya...
Hivi kweli inaingia akilini kuona jumla ya wanafunzi 24,528 wakikosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu kutokana na ufinyu wa nafasi huku wanaoitwa wawakilishi wa wananchi(watetezi wa...
July 2015-feb 2016
Mh waziri
Hii ni kashfa kwa wizara yaki sidhani unaitaji kuendelea kuchafuliwa kwa hilo else watanzania tutaiogopa wizara ya mawasiliano kama BoT walivyoishinisha wahuni wa...
Wahusika wa tamisemi, Naomba kasome barua aliyoandika afisa elimu wilaya ya Igunga kuwambia walimu wajisalimishe wenye vyeti feki.
Cha ajabu ukiendelea utaona anahimiza wawahi wenyewe sababu wapo...
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi amewataka wanasiasa kutoitafisri vibaya hotuba ya Rais kwamba amepiga marufuku shuguli za kisiasa na badala yake watambue kuwa...
Katika kipindi cha chini ya miezi miwili mheshimiwa Rais ameshuhudia kwa macho yake jinsi wateule wake wanavyomchonganisha ama na wananchi ama na viongozi wa vyama vya upinzani katika ngazi za...
Katika hali ya kushangaza Shule ya Sekondari Kishoju iliyoko Muleba Mjini mchana imefukuza wanafunzi wote wa kidato cha 5. Wamepewa muda usiozidi dakika 30 kupotea shuleni. Wasichana nao wako...
Kwa mwonekano wa nje hii mahakama inaonekana kama kitanzi kwa mafisadi papa, kinyume chake kitakuwa kilio kwa watu wanyonge wasio na hatia, wasio na majina, wasio na uwezo wa kuhonga majaji...
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI
Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa...
Naomba kuuliza hivi tamko au agizo la mdomo la Rais unaweza kulitumia mahakamani kama ushahidi au utetezi iwapo utekelezaji wa agizo hilo utakupelekea kufikishwa mahakamani kwasababu moja au...
Hii si mara ya kwanza kwa wabunge wa CCM kubakia bungeni wakati wabunge wa vyama vingine wanapotoka nje ya ukumbi vinapofanyika vikao vya bunge kupinga jambo fulani. Kubaki kwao na kuendelea na...
TAKUKURU fanyieni kazi habari hizi. Kuna fununu ya kuwepo kwa harufu ya JIPU ndani ya Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Kinondoni.
Jipu lenyewe linalodhaniwa linahusisha zoezi...
Ukiichaga UKAWA ni kama kulala mlango wazi.
Tunamkumbuka sana Mnyika na usemi wake bungeni ati Kikwete ni dhaifu.
Na walikuwa UKAWA wakisema udhaifu wa Kikwete ndo udhaifu wa serikali.
Sasa...
JUMLA ya wanafunzi 90,248 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi mwaka 2016 ambapo kati yao wasichana ni 28,911 na wavulana 36,050. Hata hivyo, jumla ya wanafunzi 24,258 sawa...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu muumba wa vyote,pia niwape hongera wanajukwaa kwa michango mbalimbali ya kuelimisha,kufikirisha ingawaje wengine hukereka kwa baadhi ya maoni ya watu bali...
Zipo aina kuu nne za watu ambazo zimegawanyika kutokana na tabia walizo nazo.
Tabia hizo ni kutawala (Choleric – Dominance), mhamasishaji (Sanguine - infuluencing), asiyeyumbishwa (Phlegmatic...
CHAMA cha Kutetea Haki za Walimu (CHAKAMWATA) kimemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi, kuwaomba radhi walimu nchini au kuifuta kauli yake aliyoitoa Juni 16, mwaka huu.
Akiwa katika...
MEYA JACOB AMFUMBUA MACHO MAGUFULI???
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA KWA MSTAHIKI MEYA BONIFACE JACOB
Asalaam aleikum wananchi wa wilaya ya kinondoni na viunga vyake, niendelee kuwaombea ndugu zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.