Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,983
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI

Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo kipya cha kufua umeme wa gesi na mvuke 240 MW (Kinyerezi II), mradi unaotarajiwa kukamilika 2018.

Nilipofika nilipokelewa na kiongozi mmoja wa protocal ambaye ananifahamu kwa kuwa tulikuwa tunasali pamoja zamani akanikabidhi kwa public relation manager wa Tanesco ambaye pia ananifahamu tangu akiwa mwandishi wa habari na mimi nikiwa mwanaharakati wa kupinga wawekezaji wa TTCL.

Kama Meya nilipangiwa kukaa jukwaa kuu la Raisi kati ya matatu ambayo mengine yalikaliwa na waheshimiwa wabunge na wawekezaji, lingine likikaliwa na wakurugenzi na viongozi wengine.

Sasa kituko kikaanza, Mkurugenzi mkuu wa Tanesco akaanza kutambulisha watu walio ktk jukwaa kuu akataja karibu wote pamoja na mbunge Bona aliyekaa pamoja na mimi kwa heshima ya mbunge mwenyeji akaniruka mimi japokuwa alikwishaambiwa uwepo wangu!

Baadae alimkaribisha Raisi aliyekuja na kituko cha mwaka. Aliendelea kutambulisha mabalozi na wawekezaji, mkewe, mbunge Zungu (Ilala), mbunge Kessy (Nkasi Kaskazini) akamruka Anatropia wa CDM, akamwita mbele mbunge Bona na kumsifia sana akisema kwamba wananchi wa Segerea walifanya vizuri kuchagua mbunge wa ccm kama na yeye alivyo wa ccm na kwamba kwa kufanya hivyo watapata maendeleo kwa sababu ati hawezi kumpa mtoto wa jirani chakula wakati wakwake yupo!

Kama hiyo haikutosha akampa nafasi ya kusalimia wananchi! Haikuishia hapo akasema amemchagua mkuu wa mkoa Makonda kwa vile ni mchapakazi na kwamba wengine walikuwa wakigombana naye na kujidai kukataa fedha za maendeleo sasa yeye kampa ukuu wa mkoa awe bosi wao sasa aone kitakachoendelea!

Kauli hii iliniacha hoi. Kama vile haitoshi akasema tena kwamba amemteua mchapakazi mwingine ambaye wasiopenda maendeleo wanampinga Mh. Muhongo. Ati naye atawakomesha wale waliokuwa wanapenda kukodishakodisha mitambo ya kufua umeme. Ati anampongeza kwa kuvunja bodi iliyokuwa inamshauri kukodishakodisha mitambo ya ajabuajabu.

Yote hiyo ni mipasho kwa wapinzani ambayo haikutakiwa kutoka kwenye kinywa cha Raisi. Ile ilikuwa ziara ya kiserikali siyo ya chama chake. Na madongo mengine mengi kawarushia wapinzani utafikiri akina mama wanaocharurana kwa mafumbo.

Nimejuta kwenda huko na sitakaa niende tena kwenye ziara zake kwani huko ni kufuata maudhi badala ya kufurahia maendeleo ambayo ndiyo lengo la UKAWA.
 
Sijaona la maana uliloandika hapa.
nuts

pole sana,,hii ni afrika ,,kampeni zilishaisha sasa kazi lakini inasikitisha japo mi si mwanasiasa
 
Hotuba ilikuwa wazi kwenye media zote...maranya mwambie meya uongo haudumu hata kidogo....,anataka huruma humu JF,sioni mantiki yoyote zaidi ya upuuzi.Juzi kina Mtatiro na genge lake walishinda kwenye keyboard kupotosha hotuba ya Rais akiwaapisha wakuu wamikoa,kafeli,leo tena mnakuja na siasa nyepesi.
 
Nimejuta kwenda huko na sitakaa niende tena kwenye ziara zake kwani huko ni kufuata maudhi badala ya kufurahia maendeleo ambayo ndiyo lengo la UKAWA.

Ndugu, USIJUTE kwenda huko. Vinginevyo tungepata vipi ENGO hii ya STORI?
Mytake: Namshauri Raisi (kwa heshima/Taadhima) AWATUMIKIE Wananchi WOTE. Waliomchagua na wale ambao hawakumchagua. Aache kinyongo. Siku zote anawaomba WOTE WAMWOMBEE. Mbona huko HABAGUI kwa kusema: "Mlionichagua nimbeeni". Ningependa kuona Raisi wangu asiyefanya kazi KiCCM (yaani UBAGUZI). Itifaki izingatiwe!
 
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI

Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo kipya cha kufua umeme wa gesi na mvuke 240 MW (Kinyerezi II), mradi unaotarajiwa kukamilika 2018.

Nilipofika nilipokelewa na kiongozi mmoja wa protocal ambaye ananifahamu kwa kuwa tulikuwa tunasali pamoja zamani akanikabidhi kwa public relation manager wa Tanesco ambaye pia ananifahamu tangu akiwa mwandishi wa habari na mimi nikiwa mwanaharakati wa kupinga wawekezaji wa TTCL.

Kama Meya nilipangiwa kukaa jukwaa kuu la Raisi kati ya matatu ambayo mengine yalikaliwa na waheshimiwa wabunge na wawekezaji, lingine likikaliwa na wakurugenzi na viongozi wengine.

Sasa kituko kikaanza, Mkurugenzi mkuu wa Tanesco akaanza kutambulisha watu walio ktk jukwaa kuu akataja karibu wote pamoja na mbunge Bona aliyekaa pamoja na mimi kwa heshima ya mbunge mwenyeji akaniruka mimi japokuwa alikwishaambiwa uwepo wangu!

Baadae alimkaribisha Raisi aliyekuja na kituko cha mwaka. Aliendelea kutambulisha mabalozi na wawekezaji, mkewe, mbunge Zungu (Ilala), mbunge Kessy (Nkasi Kaskazini) akamruka Anatropia wa CDM, akamwita mbele mbunge Bona na kumsifia sana akisema kwamba wananchi wa Segerea walifanya vizuri kuchagua mbunge wa ccm kama na yeye alivyo wa ccm na kwamba kwa kufanya hivyo watapata maendeleo kwa sababu ati hawezi kumpa mtoto wa jirani chakula wakati wakwake yupo!

Kama hiyo haikutosha akampa nafasi ya kusalimia wananchi! Haikuishia hapo akasema amemchagua mkuu wa mkoa Makonda kwa vile ni mchapakazi na kwamba wengine walikuwa wakigombana naye na kujidai kukataa fedha za maendeleo sasa yeye kampa ukuu wa mkoa awe bosi wao sasa aone kitakachoendelea!

Kauli hii iliniacha hoi. Kama vile haitoshi akasema tena kwamba amemteua mchapakazi mwingine ambaye wasiopenda maendeleo wanampinga Mh. Muhongo. Ati naye atawakomesha wale waliokuwa wanapenda kukodishakodisha mitambo ya kufua umeme. Ati anampongeza kwa kuvunja bodi iliyokuwa inamshauri kukodishakodisha mitambo ya ajabuajabu.

Yote hiyo ni mipasho kwa wapinzani ambayo haikutakiwa kutoka kwenye kinywa cha Raisi. Ile ilikuwa ziara ya kiserikali siyo ya chama chake. Na madongo mengine mengi kawarushia wapinzani utafikiri akina mama wanaocharurana kwa mafumbo.

Nimejuta kwenda huko na sitakaa niende tena kwenye ziara zake kwani huko ni kufuata maudhi badala ya kufurahia maendeleo ambayo ndiyo lengo la UKAWA.
Hili halipaswi kushabikia hata kwa sisi wanaccm kwani tunachofanya ni ubaguzi na unaweza kuleta madhara makubwa huko mbele, siasa za namna hii zinanikumbusha miaka ya 96..... Wakati wabunge wa upinzani na ccm walishindwa hata kusalimiana tunaenda huko. Wazazi wangu hawakunifunza hivyo Dini hainifunzi hivyo
 
Hata mimi nilimsikia akifanya ubaguzi kwa wabunge wa vyama vingine kwa kusema uchaguzi sahihi ni wa Bona na atampendelea ktk mahitaji ya jimbo lake. I say to hell, haijalishi, mapambano dhihi ya ccm yataendelea mpaka siku watatoka tu. Historia ipo hivyo duniani kote. Hamna kukata tamaa. Pombe unajidanganya mwenyewe.
 
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI

Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo kipya cha kufua umeme wa gesi na mvuke 240 MW (Kinyerezi II), mradi unaotarajiwa kukamilika 2018.

Nilipofika nilipokelewa na kiongozi mmoja wa protocal ambaye ananifahamu kwa kuwa tulikuwa tunasali pamoja zamani akanikabidhi kwa public relation manager wa Tanesco ambaye pia ananifahamu tangu akiwa mwandishi wa habari na mimi nikiwa mwanaharakati wa kupinga wawekezaji wa TTCL.

Kama Meya nilipangiwa kukaa jukwaa kuu la Raisi kati ya matatu ambayo mengine yalikaliwa na waheshimiwa wabunge na wawekezaji, lingine likikaliwa na wakurugenzi na viongozi wengine.

Sasa kituko kikaanza, Mkurugenzi mkuu wa Tanesco akaanza kutambulisha watu walio ktk jukwaa kuu akataja karibu wote pamoja na mbunge Bona aliyekaa pamoja na mimi kwa heshima ya mbunge mwenyeji akaniruka mimi japokuwa alikwishaambiwa uwepo wangu!

Baadae alimkaribisha Raisi aliyekuja na kituko cha mwaka. Aliendelea kutambulisha mabalozi na wawekezaji, mkewe, mbunge Zungu (Ilala), mbunge Kessy (Nkasi Kaskazini) akamruka Anatropia wa CDM, akamwita mbele mbunge Bona na kumsifia sana akisema kwamba wananchi wa Segerea walifanya vizuri kuchagua mbunge wa ccm kama na yeye alivyo wa ccm na kwamba kwa kufanya hivyo watapata maendeleo kwa sababu ati hawezi kumpa mtoto wa jirani chakula wakati wakwake yupo!

Kama hiyo haikutosha akampa nafasi ya kusalimia wananchi! Haikuishia hapo akasema amemchagua mkuu wa mkoa Makonda kwa vile ni mchapakazi na kwamba wengine walikuwa wakigombana naye na kujidai kukataa fedha za maendeleo sasa yeye kampa ukuu wa mkoa awe bosi wao sasa aone kitakachoendelea!

Kauli hii iliniacha hoi. Kama vile haitoshi akasema tena kwamba amemteua mchapakazi mwingine ambaye wasiopenda maendeleo wanampinga Mh. Muhongo. Ati naye atawakomesha wale waliokuwa wanapenda kukodishakodisha mitambo ya kufua umeme. Ati anampongeza kwa kuvunja bodi iliyokuwa inamshauri kukodishakodisha mitambo ya ajabuajabu.

Yote hiyo ni mipasho kwa wapinzani ambayo haikutakiwa kutoka kwenye kinywa cha Raisi. Ile ilikuwa ziara ya kiserikali siyo ya chama chake. Na madongo mengine mengi kawarushia wapinzani utafikiri akina mama wanaocharurana kwa mafumbo.

Nimejuta kwenda huko na sitakaa niende tena kwenye ziara zake kwani huko ni kufuata maudhi badala ya kufurahia maendeleo ambayo ndiyo lengo la UKAWA.
Tuombe Mungu Trumph awe Raisi Marekani awatie adabu hawa
 
Back
Top Bottom