Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,764
- 2,347
Ukiichaga UKAWA ni kama kulala mlango wazi.
Tunamkumbuka sana Mnyika na usemi wake bungeni ati Kikwete ni dhaifu.
Na walikuwa UKAWA wakisema udhaifu wa Kikwete ndo udhaifu wa serikali.
Sasa tumempata mzee wa Hapa Kazi Tu.
Kazi wameiona na wanaisoma namba, na si wapinzani tu, wote waliokaa kushoto!
Tunaanza kusikia , oohh, dikteta Magufuli.
Wamebanwa na uongo wao wenyewe UKAWA.
Alternative waliyonayo.
Fisadi Lowassa
Mlango huo hata ukiwa wazi na unaona mlo ndoni siingii hata.
Huo ni kulala mlango wazi kusubiri wajinga waingie.