Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,643
- 32,118
July 2015-feb 2016
Mh waziri
Hii ni kashfa kwa wizara yaki sidhani unaitaji kuendelea kuchafuliwa kwa hilo else watanzania tutaiogopa wizara ya mawasiliano kama BoT walivyoishinisha wahuni wa DECI huky wakijua ni matapeli na kuja kuwaibia watanzania.
Nafikiri ni aibu kubwa sababu kampuni imejipanua kila kona miezi yote hii kama ni kibali inamaana mawasiliano yao na wanapotoa hela kwa wahusika mlikuwa amuoni ama mnaleta usanii serikali ya JPM.
Mh waziri kuna mnuso, hawawezi fanya kazi mda wote huo bila kibali mimi naamini hata kutumbuliwa hili jipu kuna kutokuelewana humo ndani else ingeendelea mpaka jul16.