Ushauri mdogo sana kwa vyombo vya dola hasa askari Polisi


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,883
Likes
65,472
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,883 65,472 280
Mafunzo yenu ndio msaada wenu,ndio kinga yenu na ndio mafanikio yenu.
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,085
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,085 280
Piga 111 au 112 uongee na police moja kwa moja.
 
D

Descartes

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
2,769
Likes
1,166
Points
280
D

Descartes

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
2,769 1,166 280
Watekeleze na agizo la kungo'a na matairi ya gari wanazozikamata...(kwa kutaja machache).
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,511
Likes
13,169
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,511 13,169 280
Hii comment yako haitawasaidia ninaowashauri na wala haina uhusiaono na huu uzi.
Huna lolote lakushauri zaidi ya kufuata upepo

wewe nimtetezi wa upumbavu sikuzote

muache kwanza unafiki
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
5,878
Likes
1,835
Points
280
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
5,878 1,835 280
Umeongea kwa mafumbo
 
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
6,150
Likes
1,619
Points
280
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
6,150 1,619 280
Unawatishia au unawaataarifu? Pole na haya ya siasa ila ndio maisha. Ungewapigia pia au kuwatumia meseji, au hutaki wajue upo wapi?
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,883
Likes
65,472
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,883 65,472 280
Huna lolote lakushauri zaidi ya kufuata upepo

wewe nimtetezi wa upumbavu sikuzote

muache kwanza unafiki
Sawa ila nikuulize,mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi leo hii yuko wapi?Wewe hapo unamsaidia nini?
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,085
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,085 280
Sawa ila nikuulize,mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi leo hii yuko wapi?Wewe hapo unamdaidia nini?
Dogo jana ulilalamika kwamba uwapotezee pro-CCM mbona mpaka sasa unafuatilia Serikali ya CCM? Kwanini usiendelee na kuongelea issue zenu za BAVICHA, BAWACHA na UKAWA.

Au kuna kitu zaidi unakitafuta? Nakusihi fuata ushauri wako wa jana.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,883
Likes
65,472
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,883 65,472 280
Dogo jana ulilalamika kwamba uwapotezee pro-CCM mbona mpaka sasa unafuatilia Serikali ya CCM? Kwanini usiendelee na kuongelea issue zenu za BAVICHA, BAWACHA na UKAWA.

Au kuna kitu zaidi unakitafuta? Nakusihi fuata ushauri wako wa jana.
Zero brain!!!!!Ukipotosha kwa makusudi siwezi kukuacha ila ukini-provoke ndio nitakupotezea
 
niachiemimi

niachiemimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
1,967
Likes
1,464
Points
280
Age
35
niachiemimi

niachiemimi

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
1,967 1,464 280
Mafunzo yenu ndio msaada wenu,ndio kinga yenu na ndio mafanikio yenu.
Mbona umechelewa sana kulishauri hili?. Hakuna jipya hapo, yote ni yale yale ambayo askari wanafanya kila siku. Labda ungeshauri wajambazi watafute kazi halali za kufanya vinginevyo askari watawanyang'anya silaha zao.
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,085
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,085 280
Wewe acha kulalamika bosi wako amesema atafanya mambo ya kigaidi.
Halafu leo unaleta ushauri kwa police?
Hakuna mda wa kujadiliana na gaidi ni kuua tu.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,883
Likes
65,472
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,883 65,472 280
Mbona umechelewa sana kulishauri hili?. Hakuna jipya hapo, yote ni yale yale ambayo askari wanafanya kila siku. Labda ungeshauri wajambazi watafute kazi halali za kufanya vinginevyo askari watawanyang'anya silaha zao.
Mwambieni basi atoe maagizo ya maandishi.
 

Forum statistics

Threads 1,238,197
Members 475,856
Posts 29,312,463