mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Nakumbuka siku za nyuma kidogo, kulikuwapo madalali wabaya, hawa jamaa walikuwa wakiwaunganishia wanafunzi mashuleni kwa majina ya watu wengine.
Napenda nitoe ushauri, nionavyo mimi baada ya watumishi hewa, kusitisha ajira na kuchunguza malipo kwa hawo hewa na wasio hewa VYETI FEKI VITAFWATA
Wapa wanaodhani tatizo la ufeki wa vyeti ni idara ya afya pekee, nakumbuka polisi walihitajika watu na cheti kilitumika, walimu na yawezekana walimu wakawa si wengi kama wanavyodhani wengi wetu.
HAWA JAMAA WANGEACHA KAZI KWA AMA KUANDIKA BARUA KUACHA KAZI, KUJISALIMISHA NK Lakini sio kusubiri litakalo wakumba.
La vyeti feki litakuwa jepesi sana, tena sana baadaya ya kuwachambua na kuwatoa hewa. Ghost workers.
wapo wanaodhani Jeshini itakuwa ngumu, Polisi na labda walimu manesi na nk watakuwa wepesi, lazima kukubali kwamba sekta ambazo si za kisiasa, ni fedheha kubwa itakayowakumba wengi walioingi kwa feki things.
Lakini pia, baada ya yote haya, Niwaguse hawa kizazi hiki cha 2000...Elimu
Elimu, walimu waliotufundisha, mitihani tuliyofanya, adabu tuliyokuwa nayo, utendaji kazi tunautekelezakatika kujenga Taifa hili...wenzangu wa chini ya 2000,ama chuo, kidato cha sita, cha nne waliomaliza wakati huo ni watu safi uwezo na kadhalika. Hawa ukimkuta ana cheti feki lakini unaweza ukajiuliza ka nini sasa amefanya hivyo kuwa na feki docs! Sababu ndgo kwa ufupi,
wakati miaka ya 2000+ watu wanadahiliwa vyuoni na vimemo, Huko nyuma 2000, 1990 na 1980s Kupata shule ni kazi kubwa, ukisikia usaili ni balaa, suze kazi?
Ni baki kweye mstar miaka hii kazi katika sekta isiyo rasmi ni poa na ukijiongeza unaweza kufanikiwa kuliko alie kazini, ushauri ni kwamba kwa hali iliyopo sasa tunakoelekea ni wazi kwamba baada ya watumishi hewa, uhakiki malipo baada yakusitisha ajira na Promotion vyeti feki ni mast..... huko baadae itakuwa utendaji wako...ni kizazi cha hivi karibuni mnaojaa mtandaoni mkibisha vyuo bora, shule bora eti kama hukupita hapa.
........ shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa ****** mliopo hai
mnapoteza muda, kaza buti acheni upuuzi