Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baba wa Taifa,mwalimu Nyerere alieishi maisha ya kawaida alipokuwa Ikulu kwa maana ya kutojipendelea yeye mwwenyewe na hata kutopendelea alikotoka, alifanya hivyo hata katika mavazi kwa maana ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau, Leo mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam. Hata hivyo, haikuwazuia Wananchi wa Majimbo ya Ubungo na Kibamba kwenda kumsikiliza Rais John Magufuli na wagombea Ubunge wa majimbo hayo kwenye...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula? Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu...
16 Reactions
244 Replies
32K Views
Kwa hakika kama sio DHARAU basi ni KIBURI. Kama sio hivyo viwili, basi ni KUJISAHAU. Na kama sio vyote labda ni Mzoefu wa KUTELEZA ULIMI. Serikali yoyote inafanya kazi sake kwa kodi toka kwa...
9 Reactions
7 Replies
1K Views
Inakera sana tena sana,sasa hivi kila mwananchi anakosa huduma za msingi, kisa tu uchaguzi na kampeni. Ukienda kwa wakuu wa Wiaya, Wakurugenzi na hata Watumishi wa afya watakuambia wapo bize na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yabainika Fedha ziligawanywa kama njugu kila Diwani alihongwa milioni 3 tu kubariki biashara wabunge wote wamehongwa kasoro mdee wa kawe madiwani wagombana kugombea mgao Na. Mwandishi wetu...
4 Reactions
175 Replies
17K Views
LAAC ilifikia uamuzi huo jana baada ya kukosa majibu ya maswali kadha iliyotaka kufahamu, kutoka kwa uongozi wa mkoa na jiji la Dar es Salaam, ikiwamo nani ni wamiliki wa Uda. Katika swali hilo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema wingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni ya wagombea wengine wa urais haumtishi. Profesa Lipumba amesema hayo...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020. Hivyo...
4 Reactions
83 Replies
9K Views
Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli? Sasa hivi yupo ITV. === Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya...
10 Reactions
87 Replies
16K Views
Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano...
109 Reactions
157 Replies
14K Views
Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu. Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Nimekuwa nikimsikia Tundu Lissu akilalamikia kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Kweli ana haki ya kulalamika maana inawezekana kabisa mawakala wasipewe fomu za matokeo na hivyo kukosa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na...
79 Reactions
294 Replies
30K Views
[emoji625]MTAA KWA MTAA NA MKUMBO.[emoji625] Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo Prof. KITILA MKUMBO akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa kata ya Mabibo na Manzese. Akisikiliza kero na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
IGP Sirro amewataka wanañchi wa Mtwara kutulia wakati vyombo vya ulinzi vikidhibiti usalama na kuwashughulikia mabedui walioua wananchi wenzetu. Kamanda Sirro amesema damu ya wananchi waliouawa...
20 Reactions
288 Replies
38K Views
Ni matumaini yangu ya kwamba mnaendelea vizuri na mihangaiko ya hapa na pale. Lengo la kuandika uzi huu ni kuwekana sawa, kueleweshana na kurekebishana hasa kwenye hii dhana ya ucha Mungu kwenye...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom