Bado kuna wananchi hawajiamini kama watapiga kura ya Rais kwa maeneo walipo. Hii nikwasababu elimu hi bado haijatolewa vyema.
Juzi tulikuwa kwenye usaili wa usimamizi wa uchaguzi mkuu huu...
Viongozi wa kidini wa Kamati ya Amani Tanzania inayojumuisha viongozi wa kidini na madhehebu mbalimbali Tanzania waonana na Maalim Seif.
Kiongozi wa ujumbe wa Kamati ya Amani alibainisha ni...
Dunia yetu inaongozwa na viongozi wengi wa mataifa mbalimbali, kuanzia ngazi za urais mpaka ngazi za chini kabisa, viongozi hawa wana msaada mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku hapa...
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika...
Mfumo gani wa utawala ungefaa zaidi kuondoa umaskini, kuleta maendeleo makubwa,utangamani,haki na furaha kwa bara la Afrika ? Je ni.
1. Demokrasia
2.Ufalme kamili
3.Udikteta mwema/benevolent
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema kuna mbinu za kuweka mawakala mwaka huu zimekuwa tofauti uklinganisha na miaka iliyotangulia.
Amesema...
Nitapiga KURA ya NDIO kuichagua CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020.
Nitaichagua kwa sababu sababu zifuatazo;
1. Ndicho Chama pekee kinacholinga na kutetea Muungano wa Tangangika na Zanzibar.
2...
VIONGOZI WA DINI
(Makundi Yetu)
Kama haitapendeza nisamehewe. Katika mchakato kuelekea Uchaguzi Mkuu, tumegawanyika makundi kadhaa:
1. Mitano Kwanza na Mitano tena. Kundi hili linaelekeza wapiga...
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu...
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA"
KYELA- MBEYA
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini...
Hai, Kilimanjaro
Mgombea udiwani Kata Ya Machame kupitia CCM Jimboni Hai, Ndugu Martin Munisi leo Mapema amefikisha Malalamiko yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi dhidi ya Mgombea Ubunge kupitia...
Ilani ya Chadema ni TAKATAKA ya kutupwa dampo. Haiwezi kuongoza hata kijiji.
Ilani haina utafiti wowote wala analysis yoyote imeandikwa kama barua ya posa.
Inasema tutaboresha barabara bila...
Yaani mfano Wanachadema au WanaCCM wa jimbo la Mchinga huko, wameamua kumpitisha mtu wao aende akagombee, halafu eti mwisho wa siku eti hichi kitu kinaitwa 'Kamati kuu' kinakaa na kuamua tofauti...
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele...
Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili.
BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama...
1. Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu ambao ni wa kipekee na kihistoria, uliounganisha nchi mbili zilizokuwa huru za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa...
Nawaza Kwa vina na uwelewa wangu katika uchumi kila nikiangalia kesho nasikia machozi na sikia huzuni najuwa ma million ya watanzania wasio na elimu ya uchumi hawajuwi nini kitatukumbuka na...
Inawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na...
Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi.
Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za...
SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.