Kutoka Mbagala, namsikiliza JK akimnadi Magufuli, JK anazungumzia mafanikio ya Serikali yake badala ya kazi za Magufuli

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye

Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali Serikalini kuhusu kutoa Elimu bure kwa wanafunzi wote hadi Chuo Kikuu, Mwishoni wakakubaliana Waanze na Elimu bure kwa Elimu ya Msingi kwanza....na baada ya kumpata Mgombea walimwelekeza hivo, kwa hiyo Elimu bure haikuibuka tu

Miundo mbinu hivo hivo, Awamu yake ilibuni wakamkabidhi Magu

UchumI wa Kati hivo hivo...mipango iliwekwa tangu Awamu ya Mkapa

Mambo mengi anayazungumza kwa juu juu tu, namwona anapata tabu kumuuza Magufuli
 
Back
Top Bottom