Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia kwa makini toka JPM kuingia madarakani na hasa baada ya bahari ya siasa kuwa na mawimbi makali na dhoruba za kuhogofya, wanaume waliokuwa kwenye siasa za kukosoa CCM na kumkosoa JPM...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nianze moja kwa moja na mada yangu, Kwa mara yangu ya kwanza napenda kumshukuru Mh Tundu Antipati Lissu kwa mawazo mazuri aliyo yatoa jana katika ziara yake ya kutembelea mitaa ya kariakoo kuhusu...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Polisi wa kituo kidocho cha Mbarali Mr. Antipas Temu akiwa na Gari aina ya Nissan T809 AVW amevamia msafara wa mgombea Ubunge wa Chadema na kuanza kulipua mabomu. Kabla ya kuanza kurusha mabomu...
14 Reactions
51 Replies
7K Views
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko. Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli. Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili...
9 Reactions
52 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo. Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Watumishi wa Umma bila kujali ngazi uliyopo usishiriki uovu dhidi ya Watanzania maana huo uovu utaandamana na wewe tu Uchaguzi uliopita kuna mzee alidhulumu haki ya wapiga kura Kagera akiamini...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamii habari! Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa CCM wakilalamika na kusikitika huku wakidai vijana mmekosa ajira sasa nipeni kura nitatoa ajira. Huku CCM ndo wamekaa madarakani miaka 59...
25 Reactions
78 Replies
6K Views
Jambo lolote lile huweza kutengenezwa kwa muda mrefu sana lakini maaribifu au kuuaribu uzuri wake ukachukua majuma mawili tu. Sababu ya kuyaandika haya hapo ni kuwaomba viongozi wetu wa ngazi...
0 Reactions
5 Replies
855 Views
Katika tukio linalofananishwa na lililotokea jijini Dar es Salaam katika jimbo la kawe, kuna mbuzi ameonekana akiharibu mabango ya mgombea wa ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh. Abdul-Aziz Abood.
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi nikiwa mzalendo mkereketwa na muumini wa maendeleo ninamjulisha Baba Askofu Bagonza kuwa mimi ninaenda na mitano tena na siyo mitano kwanza kwa sababu zifuatazo: 1.mitano tena itaendelea...
0 Reactions
11 Replies
869 Views
Wanajamvi, Kumekuwa na Upotoshaji mkubwa Kuhusu ubeberu na mabeberu wenyewe. Hili huenda linafanywa makusudi au kwa kutokujua. Nilipokuwa shule ya msingi nilifundishwa kuwa ubeberu (imperialism)...
7 Reactions
66 Replies
7K Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa...
8 Reactions
216 Replies
16K Views
Kila nikimsikiliza Tundu Lissu, nashindwa kuamini kama kweli anayosema ni uwezo wake mwenyewe au kuna nguvu gani nyuma yake. Ukiachilia mbali uwezo na ukuu wa Mungu aliyemponya kifo,ukaachilia...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa...
6 Reactions
72 Replies
5K Views
John Shibuda amezungumza kwenye Kongamano la maombi na maridhiano ya amani lililofanyika Mjini Dodoma. Shibuda amenukuu maneno ya baba wa taifa iliyosema 'watanzania hatuwezi kutatua matatizo yetu...
9 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakala wa Serikali wa uchapaji Zanzibar umeikabidhi Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) karatasi za kura za urais, uwakilishi na udiwani baada ya kumaliza uchapishaji. MY TAKE: Kumbe ZEC wamechapa...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Wakuu CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima Fly over za...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Namsikiliza hapa Nape Nnauye anafanya mahojiano na redio ya jamii MAENDELEO FM. Nape ameulizwa kama CCM itatumia goli LA mkono kwenye uchaguzi huu . Nape: Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa CCM...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom