IKULU: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dk. Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
604
490
CCM.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.​

Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wote wa Halmashauri Kuu,wakiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alli Mohamed Shein,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Alli Idd.
 
Hawa wakoloni weusi hawana faida yoyote kwa nchi hii zaidi ya hasara, hivyo kikao chao huenda kikawa mahususi kwa kuweka mipango ovu dhidi ya uhuru, haki na usawa wa Mtanganyika.....kwao ccm maslahi yao na familia zao kwanza, maslahi ya nchi si mipango yao.
 
Hii nchi ina maruerue mengi sana labda hajurudi kutoka India, maana tangu atumwe hatujawahi ambiwa karudi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.​

Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wote wa Halmashauri Kuu,wakiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alli Mohamed Shein,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Alli Idd.
th

kikundi cha walioshindwa,
 
Back
Top Bottom