Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu

Status
Not open for further replies.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
IGP Sirro amewataka wanañchi wa Mtwara kutulia wakati vyombo vya ulinzi vikidhibiti usalama na kuwashughulikia mabedui walioua wananchi wenzetu.
Kamanda Sirro amesema damu ya wananchi waliouawa haitapoteà bure jeshi la polisi litawatendea haki wahanga hao.

IGP amesema bila kumung'unya maneno kwamba wahalifu hao wanadai kutaka kupandisha dola la kiislamu lakini anawashangaa kwa kuwaua waislamu wenzao.
Kamanda Sirro amewahakikishia wananchi ulinzi umeimarishwa kwa kushirikisha jeshi la wananchi ( JWTZ) na jeshi la Polisi.

Source ITV habari!
 
Hao magaidi hujitokeza wakati wa kumuazibu Lissu tu?? Mlipo mpiga risasi mkatengeneza movie ya Kibiti na Mwanza, sasahivi mnamvua ubunge eti movie nyengine imezukia mtwara. Huu mchezo wa kisiasa magaidi hufanya kama kule Kenya huingia Mall.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
CCM haina nia ya kumletea Mtanzania maendeleo yenyewe lengo lake ni kukaa madarakani kwa kutengeneza sinema mbalimbali kama hizi na kutunga matukio mbalimbali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom