TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka waangalizi wote wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu waliopata vibali, kutambua kuwa wao siyo watendaji bali wana jukumu la kutazama uchaguzi utakavyokuwa...
Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu.
Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo...
Wafuatao ni kundi la watu wenye shughuli yao maalumu siku ya tarehe 28.
1) Wanachama wa NSSF.
2) Waliotimuliwa kwa vyeti feki pamoja na familia na ndugu zao waliokuwa wanawategemea nao...
Rais Magufuli atashuhudia utiaji saini makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya madini ya Barrick. Tukio hili litafanyika leo tarehe 24 Januari, 2020 Ikulu Jijini Dar es Salaam...
Kuelekea tarehe 28, ninatoa rai kwa wanaCCM wenzangu hasa vijana kuhakikisha kuwa vitambulisho vya wapiga kura wetu hasa wamama na wazee vunatunzwa vizuri. Upo mpango wa vijana wa upinzani...
Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi...
Mwishoni wa mwaka jana Dunia iliingia kiwewe baada ya kuripotiwa ugonjwa wa virus vya Corona huko Mji wa Wuhan Nchini China
Badae maambukizi yakaenea kwa kasi Ulaya hasa Italy na nchi jirani kama...
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki...
Shehe Ponda leo amehudhuria mkutano wa Tundu Lissu Dodoma ,Ni dhahiri mambo ya mashehe yamepata nguvu mpya sasa kwani hotuba ya Tundu lissu akiwa huko Tabora sasa imeanza kazi yake.
CCM hawana...
Nimesikia kwamba Wagombea wakisha peleka majina, msimamizi ndo atakaye wapangia vituo tena ni siku ya kupiga kura ndo mtu atajua kapangiwa kituo gani.
Sasa lets say Uko Simanjiro wilaya ile ni...
CHADEMA inawamaliza CCM na kuwaziba koo, CCM wameanza kupata tatizo la kupumua mbali ya kuwa safari zao za wagombea wao wamefungasha wasanii magoigoi waliojaa hofu ya kuiogopa CCM,
Msiiogope CCM...
Kuna Jambo nililiona wakati wa kupiga kura mwaka 2015
Afisa Uchaguzi kabla ya kunipa karatasi ya kura ambayo ilikuwa na serial number aliandika namba hio katika fomu kuonesha amenipa karatasi ya...
Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania.
Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho...
KILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha...
Watoto waliochelewa kumalizia Ada kidogo ingwe ya mwisho wa mwaka kwenye mashule ya binafsi kutokana na ule mtikisiko wa corona huenda wakaenda kukosa kufanya mitihani kuanzia kesho Jumatatu...
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.
Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa...
"Tumeonewa kiasi cha kutosha
Tumeonewa kiasi cha kutosha
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
Unyonge wetu ndio unaotufanya tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa.
Sasa tunataka kufanya mapinduzi,
Na Shabaha kuu...
Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7
Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10
Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.