Hivi mwalimu Nyerere alieishi maisha "simple" alikuwa anabadili suti kila wakati alipokuwa Ikulu?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,985
144,312
Baba wa Taifa,mwalimu Nyerere alieishi maisha ya kawaida alipokuwa Ikulu kwa maana ya kutojipendelea yeye mwwenyewe na hata kutopendelea alikotoka, alifanya hivyo hata katika mavazi kwa maana ya kutoonekana kila wakati akiwa anavaa suti mpya?

Hili ni jambo ambalo halitazamwi sana lakini ukweli hiki ni kipimo kimojawapo cha kiongozi asiependa makuu na mwenye kuonyesha mfano wa nidhamu ya matumizi ya fedha za umma.

Mzee wa watu kweli alikuwa mjamaa halisi.

Mwenye majibu tafadhali.
 
Tunajadili hadi suti, kwani suti moja inajenga madaraja mangapi.
 
Nina uhakika by 100% akili Kama hizi za mleta mada ndo zilideki barabara kwa ajili ya mgombea fulani 2015.Hivi ni lazima kuanzisha thread hata Kama huna jipya kichwani?
 
Baba wa Taifa,mwalimu Nyerere alieishi maisha ya kawaida alipokuwa Ikulu kwa maana ya kutojipendelea yeye mwwenyewe na hata kutopendelea alikotoka, alifanya hivyo hata katika mavazi kwa maana ya kutoonekana kila wakati akiwa anavaa suti mpya?

Hili ni jambo ambalo halitazamwi sana lakini ukweli hiki ni kipimo kimojawapo cha kiongozi asiependa makuu na mwenye kuonyesha mfano wa nidhamu ya matumizi ya fedha za umma.

Mzee wa watu kweli alikuwa mjamaa halisi.

Mwenye majibu tafadhali.
Ukiokosa hoja ni vyema ukaendelea kutuletea udaku wa da'Mange.
 
e92795f5871d9a17d67c8da5d67cd28e.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom