Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

rose mzalendo

Member
Mar 5, 2019
71
114
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.
 
Show za kitapeli mzee! Kuna watu lazima tutumie fursa za akili za ziada kuwaamulia kesho yao, no way out, tutawasaidia kuamua!
 
Mwandishi unataka kusema mapenzi hayawezi kushinda dhiki?

Acha watu waoneshe mapenzi yao kwa kipenzi chao.

Hata katika maandiko kuna mama aliyebaki na unga kidogo sana nadhani konzi moja.

Hii ikiwa ni katika kipindi cha njaa na alijitolea kumlisha mtumishi wa Mungu unga wa mwisho akijua kinachofuata ni kifo lakini hakusita.

Huenda haya ni mapenzi ya kweli na ni wewe umepigwa upofu hata usione!
 
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitengenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.
Uncoloured nonsense!
 
Wewe kima hujawa msemajo wa wawatanzania, ati watanzania kura zote kwa jpm, umetoa wapi iyo mandate ya kuwa msemaji wetu??
Sema kura yako moja ndio utampa jpm wako na si watanzania wote.

Subiri 28.10 ndo utajua nani kakupa usemaji wa watanzania. Fara wewe
Hao wanabalehe kisiasa, sisi Watanzania kura zote tunazipeleka kwa Rais Magufuli

Unachukua unaweka waaa kwa Mzalendo Magufuli Rais

Msaliti wa ubeligiji atatusamehe
 
Siasa imegeuka kuwa sanaa ya maigizo. Amahakika this time watashindwa kwa kishindo. CDM ya 2020 dhaifu Sana.
 
DAR yenyewe kuna sehemu kibao kuna shida ya maji kama tupo jangwa la Sahara....
Maeneo ya Chamazi hakuna Maji wala mabomba ya dawasco hayapo na watu wanaishi,wanapika na kufua nguo zao kama kawaida.
miaka 50 ya UHURU bado tupo maisha ya kuchota Maji ya visima
 
Mwananchi mwenzangu kumbuka huduma muhim ya maji ni hitajio endelevu. Katika kipindi Cha miaka 5 ya JPM, jiji la DSM upatikanaji wa maji umefikia asilimi zaidi ya 80 kazi inaendelea. I am very much sure mitano ijayo shida ya upatikanaji katika hayo baadhi ya maeneo ya Dar itakwisha kabisa.
 
Back
Top Bottom